Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Naomba msaada wako pia katika hili,

Alipatwa na kansa eneo gani?
Mkuu kuwa serious basi, unaacha kuulizia dawa wewe unaulizia kansa gani kaka ?

Kuwa chap kujua dawa mkuu humu utapata faida nyingi,usianze kupoteza muda kuulizia kansa ya wapi,kansa ni kansa tu mkuu,hakuna muda tafuta dawa uanze chap.

Mastafeli atumie kila siku kwa muda wa miezi mi3 asubuhi na jioni,usipuuze,kubali kuyanunua yawe ndani asikose hayo mastafeli.

Kuna huyo BICHWA KOMWE - mzingatie sana comment zake japokuwa zinakera ila naamini kuna siriz anazijua kuhusu CANCER.
 
Pole sana,sasa huyo anahitaji dawa za kupoza tu maumivu na kuishi kwa uponyaji wa roho zaidi.Hapo curative stage imeshapita. Na hapo yupo kwenye palliative stage. Anahitaji huduma za kumtia moyo kiroho na kupunguza maumivu mpaka Mungu atakapomchukua.
MAdaktari wa kisasa hawana tiba zaidi ya hiyo palliative care kwa mgongwa huyu,wakati huo watu wa tiba za asili wanazo dawa kadha wa kadha za kutibu haya magonjwa.
 
Pole sana ndugu. Usikate tamaa, nakutafutia namba ya Prof. Malebo, kuna dawa iko kwenye majaribio. Lakini pia NIMRI wametengeneza dawa [kuna mtu ameshihudia nduguye kupona] ingawa ni kwa wenye uvimbe wa kansa, mkeo ameshakatwa titi, sijui kama itasaidia. NIMRI wako Mabibo External, mbele ya EPZ.

Vv
 
Ahsante sana
 
Wacha tuijaribu mkuu huenda ikamsaidia
 
MAdaktari wa kisasa hawana tiba zaidi ya hiyo palliative care kwa mgongwa huyu,wakati huo watu wa tiba za asili wanazo dawa kadha wa kadha za kutibu haya magonjwa.
Hakuna cha tiba asili inayoweza kutibu cancer. Unajua cancer inavyoharibu cells?Hakuna tiba asili itatibu cancer iliyo stage 4.
 
Ushauri wangu achana na tiba mbadala ndo zilizo/zinazommaliza mkeo. Afate masharti ya vyakula na vinywaji yanayotolewa kwa wagonjwa wa saratani. Atumie dawa za hospitali pekee kwa matokeo mazuri
We ni MCHAWI tena MPUUZI.

Umeambiwa kwamba mkewe kapata hali mbaya baada ya KUPIGWA MIONZI na KUMEZA MADAWA YA HOSPITALI YENYE KEMIKALI.

Acha kugeuza MANENO. MIONZI HAIFAIIIIII.

Hakuna aliyepona kansa kwa KUJIBANIKA KWENYE MIONZI. Ni URONGOO
 
No war, tangu niku jue leo Ume ongea point BICHWA KOMWE -
 
Kabisa Mkuu

Mungu ni false hopes.

Watu wanajipa matumaini ya uongo kwa fictional character Mungu asiye kuwepo.

Inabidi ushauri wa kitiba zaidi sio imani za kufikirika.
 
Kabisa Mkuu

Mungu ni false hopes.

Watu wanajipa matumaini ya uongo kwa fictional character Mungu asiye kuwepo.

Inabidi ushauri wa kitiba zaidi sio imani za kufikirika.
Hivi mkuu,unajua mpaka leo hii hata kwa magonjwa mepesi watu wanakufa kwa ujinga huu! Mtu anaumwa,wengine eti mleteni kanisani tumuombee. Mwisho wasiku wahuni wengine wanakwambia maji ya kumuogesha yaliobalikiwa,yatanunuliwa kwa mchungaji furani,na ni elfu 50. Familia itachanga ipatikane,walete maji ya bomba,mtu atakufa.
Tangu lini huyo Mungu akaponya?
Kama uwezo huo anao,kwa nini hospitali na famasi ziwepo? Kwa nini kwenye operation nyingi mtu afie sieta kama anaponya?
Mara mia unyamaze,lakini vitu kama hivi vya kuchanganya watu hapana. Hapo mwingine nae kaja eti mkojo wa asubuhi! Kweli? Kama ni tiba,na unatoka mwilini,kwa nini mtu asipone!
 
Hoi ni tiba halisi, nina ushuhuda prospilla
 
Chief pole sana,Breast cancer ni moja cancer ngumu sana kupina ikivuka stage 1,lakini pia kuna zingine hata ukiiwahi stage 1 mgonjwa ataishi nayo mpaka itamuondoa. Usipoteze hela zako kutafuta tiba mbadala,waulize madaktari wako wakwambie ukweli,kama haiwezekani kupona.

Mara nyingi nchi za wenzetu ikifika level mbaya huwa Wana manage mgonjwa kwa dawa za maumivu ,maombi ,sala na toba . Ikubali hali halisi kisha anzeni kufanya maandalizi pamoja. Kuna bro wangu alifiwa na mkewe kwa cancer ya ziwa 2021 akiwa kwa mganga wa asili. Baada ya kuona hospital wameshindwa alimhamishia huko japo kwa ushauri wa madokta ilitakiwa arudi tu nyumbani.
 
Inachelewesha kufa tu.Ila kupona haponi.
Kwenye kihangaikia maisha,kila aina ya kinalowezekana,lazima. Nadhani hata walioleta hiyo mionzi,wanajua ina msaada japo kidogo.
Mtoa mada amesema(kama sikosei ni yeye),kwamba ni titi la karibu na moyo,kama alihofia hiyo mionzi itaathiri moyo. Nadhani wanaoitumia wanajua cha kufanya, kwa hiyo asiache kumpeleka.
 
Pia jaribu kuchemsha mizizi ya mlonge kunywa kikombe kimoja like Cha nusu lita asubuhi na jioni Kwa mwezi mmoja!

Nimesoma Mahalia mlonge ni anti Cancer!
 
we utakuwa mganga wa jadi. huwezi kuandika huu utoporo kwa mtu anaeuguza saratani ,hujui machungu anayopitia munastahili kuitwa mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…