safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu kuwa serious basi, unaacha kuulizia dawa wewe unaulizia kansa gani kaka ?Naomba msaada wako pia katika hili,
Alipatwa na kansa eneo gani?
Kuwa chap kujua dawa mkuu humu utapata faida nyingi,usianze kupoteza muda kuulizia kansa ya wapi,kansa ni kansa tu mkuu,hakuna muda tafuta dawa uanze chap.
Mastafeli atumie kila siku kwa muda wa miezi mi3 asubuhi na jioni,usipuuze,kubali kuyanunua yawe ndani asikose hayo mastafeli.
Kuna huyo BICHWA KOMWE - mzingatie sana comment zake japokuwa zinakera ila naamini kuna siriz anazijua kuhusu CANCER.