Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Mbona naskia ukiwahi Early stages unapona?Wewe ni muongo.
Ukipata saratani ya kizazi/uke hakuna matibabu. Huwezi kupona. Lazima ufe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona naskia ukiwahi Early stages unapona?Wewe ni muongo.
Ukipata saratani ya kizazi/uke hakuna matibabu. Huwezi kupona. Lazima ufe.
Nidanganye ili iweje?Umeshawahi kujiuliza anapata faida gani kwa kudanganya?
Ni sahihi na ushahidi bint wa marehemu dada yangu aligundulika na Kansa ya kizazi wakati yupo Standard 7 akatibiwa pale Muhimbili na kupona kabisa na mpaka leo yupo na mzima wa afya isipokua huwa kila baada ya muda anaenda kufanyiwa uchunguzi kuona kama kuna viashiria vya kurudi.Mbona naskia ukiwahi Early stages unapona?
Mtoto mdogo kansa ya kizazi🥹Ni sahihi na ushahidi bint wa marehemu dada yangu aligundulika na Kansa ya kizazi wakati yupo Standard 7 akatibiwa pale Muhimbili na kupona kabisa na mpaka leo yupo na mzima wa afya isipokua huwa kila baada ya muda anaenda kufanyiwa uchunguzi kuona kama kuna viashiria vya kurudi.
Sisi wenyewe tulishangaa sana lakini alianzia temeke tukapewa rufaa Muhimbili huko wakathibitisha na kwasababu na mama yake alikufa na huo ugonjwa tukakubali..Japo mzee hakukubali haraka vilifanyika vipimo zaidi ikathibitishwa akaanza matibabu kwa miaka 2 aliteseka sana na yale matibabu kuna muda hatukuamini kua yule ni ndugu yetu tena mtoto mdogo anapitia mateso yale...nilipokua naenda wodi zao huko ndo nikakutana na watoto wadogo kuliko yeye wana hayo matatizo ya kansa wengine tumbo,wengine sijui damu nk.Mtoto mdogo kansa ya kizazi🥹
Nafikiri hujaelewa nilichoquote na lengo la niliyemwuote.Nidanganye ili iweje?
Kansa ukiwahi unapona kabisa tafuteni taarifa muache ubishi
Samahan mkuuNafikiri hujaelewa nilichoquote na lengo la niliyemwuote.
Hilo swali uliloniuliza ndilo nililomuuliza.
Kama una Imani ya Muumba huna Cha kusikitika, Bali kuzidi Imani na Subira kwani wanadamu sisi si lolote si chochote, hatuamini Muumba wetu tukiwa salama likitupata khofu inatujaa, tulia wewe na mke wako abuduni, rejeeni kwake kwani hakuna limpatalo mtu ila limepangwa limpate, Amini mponyaji ni Allah, hizo dawa ni sababu tu laiti kama dawa zinaponya basi watu wasingekufa, tumia dawa na muombe Allah akuponye kupitia dawa ambayo ndiyo sababu ya kupona iwe za kisasa au za lishe za asili. Ikiwa utaweka akili Yako sana kwenye Dunia hiyo itakuumiza kwani sote mpaka tunaokupa faraja sote tutakufa na hakuna Kati yetu anayeweza kuchagua njia ya kifo chake kwani tayar kimeshapangwa, Bali kwa Dua za kumuomba Allah asitupe mitihani mizito na magonjwa mazito, kwani yeye ndiye mpangaji wa kila kitu, Allah akubariki na amponye mgonjwa wako.Daah, sadly ni kwamba tumefunga ndoa mwaka 2020 mwezi wa 9, mwaka 2021 akaanza kuumwa mpaka muda huu.
Tuwekee wazi hayo mauchafu na machanjo Ili tuyaepukeUkifuatilia vizuri chanzo utakuta ni yale MACHANJO YALEE ... which are not really vaccines worth the name, but HEAVY METALS masqueraded as such.
Na MADAWA YALEE wanayomezagaa! Na mauchafu wanayokulaa!
Ukiwaambia wanakurukia, ooooh nyamaza, hujui sayansiiii!! Haaah!
Haya, yangu macho BICHWA MIE!!
Mkewe ametangulia mbele za haki asee.Mkuu narudia tena me nimeuguza mgonjwa wa cancer sijui mgonjwa wako iko stagee gani kama imeshasambaa sikushauri labda km umeiwahi na muda unavyozidi huna option nyengine utaambiwa ana muda flani wakuishi japo mungu ndo anajua mwisho wake lini ! Ingekuwa mimi hii option wallah ningeruka nayo nenda hili group la wagonjwa wa cancer liko fb omba ushauri wa protocol gani utumie kwa mgonjwa wako kisha anza mara kufanyia kazi View attachment 3231488View attachment 3231489
Dah [emoji24]Mkewe ametangulia mbele za haki asee.
Mungu amlaze pahala pema inshallah, pole sana mkuu.Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
======
UPDATE:
Pia nikishampoteza mke wanguMkuu pole sana hebu kajiunge hili group kisha omba protocol ya tiba ipi itamfaa kisha tumia me nlijiunga kwenye group hili baada ya kupoteza mzazi kwa cancer ningelijua mapema ningempa hizi dawa wanazotumia jamaa usichelewe View attachment 3228450View attachment 3228452
Ahsante sana ndugu, japo nilimpoteza yapata mwaka sasaAisee mkuu pole,,familia yetu tumewahi oata wagonjwa wawili wa saratani ya shingo ya kizazi. Wa kwanza ni dada yangu ila alifariki na wa pili akawa mtoto wake ajabu dogo alipata saratani akiwa darasa la 7 kwakweli kuuguza mgonjwa wa saratani ni gharama mno ila Mungu amejaalia yule dogo amepon na anaendelea na masomo yake.
M/Mungu akutie nguvu katika nyakati hizi ngumu.
HakikaModerator mngemsaidia kupandisha juu ile post ya mleta uzi aliyosema kuwa huyo mke wake alishafariki dunia ili kwa msomaji mpya aelewe na hii itasaidia kuondoa mkanganyiko.
Kwani kuna wengine wanatoa pole na wengine wanamtakia mke uponyaji mwema wakati huyo mke mwenyewe hata hayupo tena duniani.
Dah Pole mkuu!Hakika
Imepita mwaka mmoja sasa tangu mke wangu arudi kwa mola
Nyonya chuchuYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
======
UPDATE:
Kuna Dada mmoja yupo Morogoro alikuwa na changamoto kama ya mke wako pls mpigie Nina Iman atakupa ABC yey anasema amepona kabisa nambar yake ni 0768883459Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.