Kanumba kawekwa kwenye Wikipedia

Kanumba kawekwa kwenye Wikipedia

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Naomba wadau mnitoe tongotongo kwenye hili,binafsi sielewi ni kigezo gani kinafanya mtu awekwe kwenye wikipedia maana nikiangalia mastaa wengine wa bongo sionagi wakiwekwa ila nimejaribu kumgoogle marehem Steven Kanumba nimefurah kuona info zake hapa
 
Wikipedia unaweza kuedit mtu yoyote.
 
Naomba wadau mnitoe tongotongo kwenye hili,binafsi sielewi ni kigezo gani kinafanya mtu awekwe kwenye wikipedia maana nikiangalia mastaa wengine wa bongo sionagi wakiwekwa ila nimejaribu kumgoogle marehem Steven Kanumba nimefurah kuona info zake hapa
kigezo kilichotumika ni kuwa Freemason.....teh, teeh, teeeh.........!!!!:behindsofa:
 
Wikipedia mkuu ni mtu yeyote anaweza kupost, lakini inashauriwa kupost kitu ambacho una hakika nacho ili usije kupotosha wengine maana kuna watu wanacite kama reference kwenye maandiko yao.
 
Mimi naona anadeserve kuwa kwenye wikipidia kwa mapinduzi yake aliyoyafanya kwenye movie hapa bongo na aliingizwa huko mara tu baada ya kufariki. Pia sidhani kama ni kweli hiyo hoja ya mtu yeyote kuedit wikipidia, ngoja nifuatilie
 
sure coz mtu anaweza kujiwekea mambo makubwa ambayo hana
 
Mimi naona anadeserve kuwa kwenye wikipidia kwa mapinduzi yake aliyoyafanya kwenye movie hapa bongo na aliingizwa huko mara tu baada ya kufariki. Pia sidhani kama ni kweli hiyo hoja ya mtu yeyote kuedit wikipidia, ngoja nifuatilie

nimejaribu kufuatilia zaid nimegundua hata Jide yupo wikipedia
 
Masanilo usisahau kumweka "Marhum" FAIZA FOXY rest in peace Mamaaa,tulikupenda sana nitakukumbuka daima!
 
Unataka nikuweke kwenye WIKI?? Hapo unachezea mwayewe tu taarifa zako ukijisikia kujipandisha au kujishiusha utajazia kila kukicha
 
Back
Top Bottom