Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wikipedia unaweza kuedit mtu yoyote.
kumbe,basi ngoja na mie nijaribu
kumbe,basi ngoja na mie nijaribu
kigezo kilichotumika ni kuwa Freemason.....teh, teeh, teeeh.........!!!!:behindsofa:Naomba wadau mnitoe tongotongo kwenye hili,binafsi sielewi ni kigezo gani kinafanya mtu awekwe kwenye wikipedia maana nikiangalia mastaa wengine wa bongo sionagi wakiwekwa ila nimejaribu kumgoogle marehem Steven Kanumba nimefurah kuona info zake hapa
Wikipedia mkuu ni mtu yeyote anaweza kupost, lakini inashauriwa kupost kitu ambacho una hakika nacho ili usije kupotosha wengine maana kuna watu wanacite kama reference kwenye maandiko yao.
zile content yeyo aweza weka.
kigezo kilichotumika ni kuwa Freemason.....teh, teeh, teeeh.........!!!!:behindsofa:
Mimi naona anadeserve kuwa kwenye wikipidia kwa mapinduzi yake aliyoyafanya kwenye movie hapa bongo na aliingizwa huko mara tu baada ya kufariki. Pia sidhani kama ni kweli hiyo hoja ya mtu yeyote kuedit wikipidia, ngoja nifuatilie
Muacheni huyu jamaa apumzike bana
Wikipedia unaweza kuedit mtu yoyote.
Wikipedia unaweza kuedit mtu yoyote.
Hata Juma Nature a.k.a Kiroboto yupo