Born Star
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 365
- 257
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za mwaka juzi mwaka jana mtaona zinavyo fanana kimazingira kimaneno hata mavazi badilikeni bwana