Kanumba & Kigosi

Kanumba & Kigosi

Born Star

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
365
Reaction score
257
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za mwaka juzi mwaka jana mtaona zinavyo fanana kimazingira kimaneno hata mavazi badilikeni bwana
 
kama hakuna wataalamu wengine wafanye nini? then kazi hamnunui kazi ku burn cd, watapata wapi pesa za kuwalipa watu wote hao?
 
kama hakuna wataalamu wengine wafanye nini? then kazi hamnunui kazi ku burn cd, watapata wapi pesa za kuwalipa watu wote hao?

angalia kazi ya twenty pacent ilivyo wapiga mpaka leo mi bado naangalia anamaana twenty ana pesa kuwazid kanumba kamleta ramsey kutoka naijeria atashindwa vip kuleta mtalamu yeyote na asikudanganye mtu filamu ina pesa nzuri japo kuwa picha hazina ubora angalia kama picha mpya ya kanumba big daddy hutarudia mara mbili mimi nimejuta kuinunua
 
Mimi nimejaribu kumfuatilia huyu Ray Kigosi, yaani kwenye filamu zake akiwa ameAct kama amekasirika anaonekana ametabasamu , akiwa anatabasamu anaonekana anacheka! Filamu za bongo nyie wacheni tu
 
Mimi nimejaribu kumfuatilia huyu Ray Kigosi, yaani kwenye filamu zake akiwa ameAct kama amekasirika anaonekana ametabasamu , akiwa anatabasamu anaonekana anacheka! Filamu za bongo nyie wacheni tu

Eti anaonekana anacheka wakati anaigiza amenuna?....Hii mbona mpya kwenye fani!
 
Tajiri gani anaropoka ropoka bana! wanaigiza nyumba nzuri,gari mzuri lakini bado wanamakelele meeeeeeengi, Kuiga kwiiiiingi! unaangalia unajua kabisa anaigiza, uhalisia hakuna kabisa
 
Mimi nimejaribu kumfuatilia huyu Ray Kigosi, yaani kwenye filamu zake akiwa ameAct kama amekasirika anaonekana ametabasamu , akiwa anatabasamu anaonekana anacheka! Filamu za bongo nyie wacheni tu

Mimi nimeshasema sana kuhusu huyo Ray hadi nimechoka.
 
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za mwaka juzi mwaka jana mtaona zinavyo fanana kimazingira kimaneno hata mavazi badilikeni bwana
kama viongozi wa nchi na wasomi hawana ubunifu unategemea nini kwa vijana kama hao ambao hata elimu yao ni ya mashaka.kama huyo ray kipaji zero Kabisa, watazamaji wao wengi ni ma house girl na mashangingi. ushauri wangu waende chuo cha bagamoyo. PENYE NIA PANA NJIA!!!!!
 
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za mwaka juzi mwaka jana mtaona zinavyo fanana kimazingira kimaneno hata mavazi badilikeni bwana
Kama sikosei jina lako halisi ni porn star hili lingine ulipewa na max tu hapa! vp za siku nyingi? ila nakushangaa unapoteza muda wako kumwangalia kanumba na wenzie? huna kitu cha Kufanya? unaangalia filamu ambazo unaujua mwisho wake ukiangalia dakika ya mwanzo tu! tafuta movie za maana angalia! hizi za kibongo labda kama una hamu ya kuona mapaja ya akina uwoya na wenzie sawa! lakini hakuna cha zaidi!
 
Kwa taarifa yako Filamu aliyoshiriki 20% haikuwa yake alilipwa akashiriki usifikiri ilikuwa ni filamu yake, kucheza kama muhusika mkuu haimaanishi filamu ni yake.Wabongo mnajua kukosoa tu, pamoja na ubovu wa filamu zetu Kanumba na Ray wamekuwa wakijitahidi sana kulingana na mazingira pia, achani kuwafananisha na Nigeria ama India ambao wao wamepiga hatua siku nyingi. kama ana act sehemu nyingi kupunguza gharama na picha inatoka vizui tatizo likuwapi,Binafsi Kanumba naona amekuwa na Filamu nzuri na zenye ubunifu matatizo yapo ila tuwape muda zaidi soko lenyewe bado changa sana.
 
sinaga muda wa kuwaangalia hao ushuzi wawili...
Bora nimuangalie Mamaa Cherokee anavyolimong'onyoa uno na kumridhisha Mr Marcus au Hata Muheshimiwa Mandingo
 
All their movies have the same theme of story, no creativity
 
no creativity at all....we story ndo hizo hizo kila siku.mtu anashindwa kujiandaa narole yake ipasavyo yaani akiigiza kama mchungaji,mkulima,fukara bado minywele ni hiyo hiyo yenye wave unashindwa kumconvice mtazamaji
 
mimi pia nilishashindwa kuwaangalia. sana sana mzee Majuto ndo anikosha tu na comedies zake. mzee majtuo ndo aliyepo kwenye library yangu kwa wasanii wa maigizo hapa kwetu
 
sinaga muda wa kuwaangalia hao ushuzi wawili...
Bora nimuangalie Mamaa Cherokee anavyolimong'onyoa uno na kumridhisha Mr Marcus au Hata Muheshimiwa Mandingo

hehehheheeeeeee kina missy pinky bwana bora umenena..
 
sinaga muda wa kuwaangalia hao ushuzi wawili...
Bora nimuangalie Mamaa Cherokee anavyolimong'onyoa uno na kumridhisha Mr Marcus au Hata Muheshimiwa Mandingo

tena huyu mamaa cherokee hata akitoa behind the scene tu mauzo lzm yafike platnum
 
mimi nimejaribu kumfuatilia huyu ray kigosi, yaani kwenye filamu zake akiwa ameact kama amekasirika anaonekana ametabasamu , akiwa anatabasamu anaonekana anacheka! Filamu za bongo nyie wacheni tu

ongea yenyewe utadhan
kawekewa ubao mbele
anausoma nowadays
sipotez mda na muvi zao.bora nkeshe jf
 
Back
Top Bottom