zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
interesting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah mkuu we muache tu aendelee kupoteza muda na tangawizi zake.Hahaaa amesahau kwamba kile kishimo hakiridhikagi
Pale simba anapomfundisha swala majani mazuri yanapopatikana[emoji2][emoji2]
Ngoj niulize
Oliver oil hapo sijakupata mkuu nishanunua vyoteee teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nataka kujua kwanini hamjanitag wakati na mimi nina ulemavu huu pia?
Utafanya hizo bidhaa ziadimike na kupanda bei
...hivi vitunguu ni lazima vitunguu maji tu ama unaweza kutumia hata vitunguu saumu tu?Asali ipi mbichi au ipi au ya nyuki wakubwa au wadogo