hatari mwanawane soo mil 100 wachezaji wa kigeni kwa mtu mwenye wachezaji 12. kudaddeki hapa kwenye hizo timukubwa wazawa wasahau kuchezaWenye uwezo wa kulipa hizo gharama ni Simba na Yanga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari mwanawane soo mil 100 wachezaji wa kigeni kwa mtu mwenye wachezaji 12. kudaddeki hapa kwenye hizo timukubwa wazawa wasahau kuchezaWenye uwezo wa kulipa hizo gharama ni Simba na Yanga tu
Hatari sana Mkuuhatari mwanawane soo mil 100 wachezaji wa kigeni kwa mtu mwenye wachezaji 12. kudaddeki hapa kwenye hizo timukubwa wazawa wasahau kucheza
Kwanini waandishi wa Habari wanashindwa kuhoji matumizi ya hizi pesa!Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,
ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.
CHAMBUA
Hivi huwa timu husika zinashirikishwa? Kama ndiyo wajinga sana hao wenye timu.Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,
ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.
CHAMBUA
timu zenyewe zitaongea nini sasa? tutegemee taifa stars kuendelea kuwa kichwa cha mwandawazimuHivi huwa timu husika zinashirikishwa? Kama ndiyo wajinga sana hao wenye timu.
12 x 8 = 96kumbe ilikuwa ni mtego kuruhusu wachezaji wa kigeni 12 kwa timu moja
Zikienda serikalini nako zitaliwa kama kawaida. Bora zibaki TFF kuendeleza footballTFF hizo pesa wanapeleka wapii ?? Timu zisikubali upuuzi huu..
Kama zote zinakwenda serikalini sawa lakini kama ni mifuko ya TFF hapana !!
Hahahahaha, wako akina azam na singida Black starsWenye uwezo wa kulipa hizo gharama ni Simba na Yanga tu
Wanapunguza idadi ya wachezaji wa nje kwa kuweka hivyo vigezoBado vibali vya Uhamiaji
Clab ya Jangwani INA Mwenyekiti?.Wajumbe wa bodi ya ligi ni wenyeviti wa vilabu.
Watakaolipa ni Yanga Tu?Tiefuefu ya Karai inaumizwa sana na wachezaji wa kigeni wa Yanga wanakiwasha mbaya kabisa na kuzoa tuzo zote mbumbumbu FC imefurukuta miaka mitatu bila bila!! Imeishia matamasha ya kutaja wanaukoo tu!!
Hii ni mbinu ya kudhoofisha Yanga na haitafanikiwa bali itaumiza tu vilabu vidogo!!
Hizo pesa ni nyingi sana kwanini wasitafute mbinu zingine kuongeza mapato?
Uchaguzi wa TFF lini?
Ligi inaenda kukosa ushindani kwa Tamaa za TFF kukusanya mapato
Tff zamira yao ni kua na wachezaji wengi wa ndani pia kuwalipa wanaofanya kazi tff kwakua wao si income generation team,inawasaidia sn kuendesha ofisi,kwa upande wangu nawapa kongole kwa hili 12x8=mil 96 kwa timu 1 safi sana tffMchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.
Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,
ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.
CHAMBUA
Bado kuna kodi ya serikali! Hawa watakuwa wamekurupuka bila shaka. Na sidhani kama wamewashirikisha wadau (vilabu husika) juu ya haya maamuzi yao.Bado vibali vya Uhamiaji