Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza.

Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M,

ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC.

CHAMBUA
TFF waache tamaa za kijinga.
 
Hii Nchi imejaa tozo, kwa nini walipe TRA na TFF, Tena kibaya pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom