Kanuni mpya, Tff itakusanya takribani milioni 300 kwa wachezaji wa kigeni,

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25.

◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza na (TFF).

AZAM - MILIONI 96
YANGA-MILIONI 96
SIMBA - MILIONI 96

JUMLA MILIONI 288

Ukiongeza clubs zingine za Singida, kmc, n.k, ni milioni 300+
 
Ni zaidi ya 480,000,000
 
sii wameona kuwa jamaa wana hela wacha wazikamue vilivyo. ila ssasa hapa tusahau mashindano y afcon na world cup kama nchi
 
Imekaa njema sana hiyo maana watachangia kwenye mfuko wa TFF.
 
wazee wanajikusanyia pensheni kwa kuumiza timu, hivi timu zingine huwa zinamudu wachezaji wangapi wa kigeni nje ya zile kubwa tatu ?
480,000,0000+ Wachezaji wa kigeni
207,000,000+ kama timu 2 zitafika robo fainali CAF
100,000,000+ Faini za kamati ya masaa 72
Udhamini CRDB
Udhamini TBC
Udhamini Azam tv
Ruzuku kutoka FIFA

Yani almost 2B+ kwa msimu.
 
Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25.

◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza na (TFF).

AZAM - MILIONI 96
YANGA-MILIONI 96
SIMBA - MILIONI 96

JUMLA MILIONI 288

Ukiongeza clubs zingine za Singida, kmc, n.k, ni milioni 300+
Binafsi sina tatizo na hizo kanuni. Tatizo lipo sehemu moja tu; hizo fedha baada ya kukusanywa zinapelekwa wapi?

Kwa upande wangu ningetamani kuona zinatumika kwenye kusaidia soka la vijana! Na siyo kwenye kulipana posho tu.
 
Back
Top Bottom