Ni zaidi ya 480,000,000Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25.
◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza na (TFF).
AZAM - MILIONI 96
YANGA-MILIONI 96
SIMBA - MILIONI 96
JUMLA MILIONI 288
Ukiongeza clubs zingine za Singida, kmc, n.k, ni milioni 300+
wazee wanajikusanyia pensheni kwa kuumiza timu, hivi timu zingine huwa zinamudu wachezaji wangapi wa kigeni nje ya zile kubwa tatu ?Ni zaidi ya 480,000,000
480,000,0000+ Wachezaji wa kigeniwazee wanajikusanyia pensheni kwa kuumiza timu, hivi timu zingine huwa zinamudu wachezaji wangapi wa kigeni nje ya zile kubwa tatu ?
Binafsi sina tatizo na hizo kanuni. Tatizo lipo sehemu moja tu; hizo fedha baada ya kukusanywa zinapelekwa wapi?Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25.