cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakutesa sanaaa. PoleeeeehTFF chini ya uongozi wa Wallace Karia itaendelea kubakia kuwa taasisi ya kidwanzi mpaka siku huyu kiumbe atakapotoka madarakani!
Binafsi sijaona sababu yoyote ile ya msingi, ya kubadilisha huu utaratibu uliopo sasa.