Kanuni Mpya ya Mpya ya TFF, Shindano la Jamii Ngao ya Jamii Kushirikisha Timu 4

TFF chini ya uongozi wa Wallace Karia itaendelea kubakia kuwa taasisi ya kidwanzi mpaka siku huyu kiumbe atakapotoka madarakani!

Binafsi sijaona sababu yoyote ile ya msingi, ya kubadilisha huu utaratibu uliopo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakutesa sanaaa. Poleeeeeh
 
Siku tukiacha siasa kwenye soka hii nchi tutapiga hatua sana kisoka..hii kitu haijawahi kutokea hata Afghanistan aise ndio mara ya kwanza hapa sasa haitaitwa ngao ya jamii watafute jina lingine tu....zamani kulikuwa na mashindano ya ligi ndogo wangeyarudisha yale kwa mfumo huu
 
Usinene ukamala. Habari za dunia hii unazijua? Kwamba hata habari za moira za Afghanistan unazijua?

Hiyo system inatumika Hispania.

Ngao ya jamii zinakutanishwa timu nne.
Hii iliyopita timu nne za Spain zimeenda kucheza ngao hiyo Saudi Arabia.

Yaani ni ngao ya jamii ya Spain na imeshirikisha timu nne na haijachezewa Spain na haijachezwa mwanzo wa msimu. Ya msimu huh bado
 
Ila sio ngao ya jamii
 
Wameona Yanga anaenda kuchukua ngao ya jamii kwa mara ya tatu mfululizo, wameanza ngojera zingine! TFF poleni kwa timu kufungwafungwa na Dar Young African.
Kwani timu zikiwa nne mtashindwa nn kuchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…