Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

Ips building
Ben and co next to HS harmony I guess
Thanks bro......ntakupa mrejesho......sio vibaya kuwa nacho na kuhifadhi kwenye home library zetu.......hope full tutapata na za Rombo, Uru, Machame, Old Moshi, Kibosho etc.
 

Kuhusu jina nimekuelewa,una hoja..

Ila yaelekea una chuki kubwa sana na Wachagga...

Makabila yote yapo compromised,lako pia limo....ni tatizo la wote..

Sasa sijui hiyo jeuri ya kusimanga wenzio umeitoa wapi?
 

Duh,

Sawa nimekuelewa....ila indicator nzuri ni DNA testing..

Ushafanya testing tayari?

Nunua testing kit online ,spit kwenye ile kit,weka kwenye kibox chao,then post the item back to them..

In 3 to 4 weeks majibu yatakua tayari....utaona percentage zako zote kwenye majibu kwenye website yao baada ya kuingiza kit ID.

Hii sijui Wayao,Kongo,sijui nini,ni ubunifu wa kipumbavu...

Mimi nimepima,nishajua my clan comes from Kenya more than 80%,sitataja kabila gani..Nina very small masai%,Hunters and Gatherers %,Nigerian karibu robo nzima (which says that we are bantus originating from Cameroon/Nigeria),na funny kabisa ni 5% Arabian...

Hii mambo ya kutaja makabila kienyeji enyeji is very stupid and kupoteza muda,70USD you can solve this quietly quick!
 
Thanks bro......ntakupa mrejesho......sio vibaya kuwa nacho na kuhifadhi kwenye home library zetu.......hope full tutapata na za Rombo, Uru, Machame, Old Moshi, Kibosho etc.
Indeed
 
Mtoa mada big up kwa historia hiyo, tumezaliwa tunakua na tutazeeka kwa bahati mbaya hatukupata historia nzuri za makabila yetu tungali wadogo zaidi ya stori za vijiweni, kuna siku mtu alikua ananiuliza mambo mengi ya kabila langu hata siyajui vizuri sasa yeye anafikiri unakwepa kabila lako kumbe ulivyokua hata hujavikuta. Ni muhimu sana historia kama hizi kutunzwa.
 
In less than 10 years to come, half of tribes in TZ will disappear!

Usiniulize kwanini!

Kiswahili chenyewe kiko ICU!

Kila mtoto sasa hivi less than 5 yrs wote wanazungumza Kiingereza kama primary language in TZ!
 
Nimekupata nitafanyia kazi. 5% ya Arabia nafikiri inatokana na Ham ambaye alikuwa Mzazi wetu watu weusi baadhi ya vizazi vyake vilikaa Arabia. Unatoka maeneo gani moshi?
 
Nimekupata nitafanyia kazi. 5% ya Arabia nafikiri inatokana na Ham ambaye alikuwa Mzazi wetu watu weusi baadhi ya vizazi vyake vilikaa Arabia. Unatoka maeneo gani moshi?

Natoka Kilema mshua...Ila maza Old Moshi..

Ila skani kamili kabisa ni Kilema
 
NATAMANI KUPATA HICHO KITABU CHA ASILI YANGU.... NAKIPATAJE!??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…