toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Somi mmbe kuke mmashami wakwi ro laweAsili ya mchagga nafikiri imetofautiana kati ya koo na koo na meaneo na maeneo , mfano wasiha ,wasanya , wamachame wengi ni weusi inasemekana asili Yao ni ukamba,usomali,usudani. Wamarangu,wakibosho,warombo wengi ni weupe asili Yao ni watu wa Kongo. Babu yangu alikuwa anafanana kwa asilimia 100 na watu wa Sudan kwa Kila kitu