Kanuni na historia za maisha ya Mchagga hapa duniani na ahera

Sidhani. 10 years itakuwa bado sana yaani. Labda makabila yatapotea mjini. Ila vijijin bado.sana mkuu. Haswa kwa hapa tz bado

Vijijini kuna watu hawajui kiswahili kabisa walahi
Jamaa kakaa mjini sana huyo walahi
 
Musa akaacha chakula cha farao kwenda kuishi na nduguze

Abraham “utaacha ndugu zako na nitakupa mahali pengine na nitakubariki kwa baraka zote walahi “
 
Abraham “utaacha ndugu zako na nitakupa mahali pengine na nitakubariki kwa baraka zote walahi “
Joshua,nyiwakamada nhi iya ya ahahi,ya ndeye onu ya isac,na yakobu ndeye enu
 
Sidhani. 10 years itakuwa bado sana yaani. Labda makabila yatapotea mjini. Ila vijijin bado.sana mkuu. Haswa kwa hapa tz bado

Jee,rafiki zako wa rika lako wanazungumza kikwao fluently at any time?Jibu ni no!

Wewe binafsi,unajua kikwenu kwa lugha ile ya ndani kama aliyokua anazungumza bibi yako?Jibu ni no!

No wonder wewe binafsi hapo hujui kikwenu hata kidogo!..Probably!

Mtoto wako anajua kikwenu?Jibu ni noooo!

Mjukuu wako atajua kikwenu?Jibu ni noooo kabisa!

Sasa sijui unanibishia kwa hoja gani hasa wakati majibu ya maswali hapo juu nipo sahihi?
 
hiyo research yako umefanyia mjini aisee

Mkuu.hebu tuache ushabiki....

Wewe mwenyewe kikwenu hujui ile lugha ya ndani kwa misamiati ya ndani kama waliyokua wanazungumza akina bibi yako...Thats true!

Unaongea diluted version heavily leaning to Kiswahili..Thats true!

Rika lako lote ni high percent hawajui kikwao,wewe included...Thats true too!

Watoto wako HAWAJUI kikwenu...thats true too!

Wajukuu zako ndio kabisa hawatajua hata salamu...Thats true!

Vijiji vimevamiwa na Kiswahili,watu wana-lean heavily into Kiswahili...Kiswahili seems to get strength everyday in those areas..Thats true too!

Sasa sijui mnabisha vitu gani aisee!
 
Mkuu,nimeipenda sana hiyo documentary & imekaa vizuri sana kwa kuonesha maisha,majukumu ya mchaga kwa kila upande...GOOD JOB[emoji106]
 
Makala nzuri sana sana.Haya mambo yalipaswa kufundishwa Hata Darasani. Hongera sana kwa Wachagga kwa hili.Historia imetunzwa vizuri sana. Ni muda sasa vijana tufanyie kazi maono ya Wazee au Mababi zetu.
 
Mkuu Maoni hako hayana mashiko na hayaeleweki.nikama unataka kulazimisha mtazamo wako. Makala ni nzuri sana. Ni muda sasa vijana tufanyie kazi maono ya Mababu zetu. Ni vizuri sana watoto wakifahamu lugha yao ya asili.lakini pia Kutumia majina yao ya asili.

Watu wengi wameshaanza kuamka kwenye hili nikiwemo mimi. Mambo mengi yaliyoelezwa. Nimwahi kuyawaza nashukuru kuwa wazee wenye busara waliyaona malema zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…