Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hii rule ipo kwenye nyanja 5;
1. Kibinafsi
2. Kifamilia
3. Kiimani
4. Kikazi
5. Kimahusiano
Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani.
Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Basi tujitahidi katika kuishi Tuishi kweli kweli na katika Kuabudu tuabudu Kwelikweli, 10 percent rule inataka hivyo.
Mimi binafsi kwa kila hela inayoingia natenga 10% ya kufarahia maisha (Starehe). Natenga 10% kwa ajili ya Sadaka na mambo ya kijamii, ambayo kiimani inaitwa Fungu la Kumi. 80% zingine nazielekeza katika mambo mengine ambayo sitayaweka wazi.
Nakushauri kama kijana mpambanaji kila hela unayopata basi tenga 20% pembeni. Ambayo 10% inaenda katika starehe na 10% inaenda katika Sadaka na Jamii. Hela yoyote upatayo iwe kihalali au kwa wizi hii rule itakusaidia sana.
Nakuasa kuanzia leo tekeleza 10% percent rule, watu wengi wanafariki/kufa bila kuishi maisha. Just enjoy maisha, tenga 10℅ kwa kila kipato chako kufurahia maisha hapa Duniani.
Haujui siku yako ya kufa utaacha hela nyingi (labda) watu watagombania na kuzitawanya. Muda huo wewe hujazifaidi hela zako. Faidi hela zako kabla haujafa, kifo kipo anytime.
Ukipata 100,000 tenga 10,000 ya starehe, tenga 10,000 nyingine ya Sadaka.
Ikumbukwe sadaka sio lazima uipeleke Msikitini au Kanisani, unaweza mpa mtu yeyote ambae unahisi itamsaidia kwa lolote. Faida yake ni kubwa kuliko hicho kidogo ulichotoa.
Kuna watu wanafanya kazi mpaka wanakufa hawajawahi kuishi.