Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Sisi hatujawah kuwa na Hela 😂😂😂Kuna mmoja jana nipo ferry natafuta DALADALA ya kwenda Mwenge, gari hakuna.
Ikaja BAJAJI nauli elfu 2 tuuuu. Yaan buku 2.
Mdada mzuri , classy ile mbaya najua elfu 2 anayo. Ila alijishauri sana anachungulia tu ktk bajaj kupanda anataka ila anawaza elfu 2 kulipia nauli wakati hapo ni jero tu kwa Daladala.
End of the day hakupanda ile bajaji.
Mtu wa hivi ukimuita aje muonane utaskia "Nirequestie Uber/Bolt daladala siwezi"