Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
- #41
Mhhhh 60% Mzee Baba.Ukitaka utoboe haraka na kupata utajiri wa Kutoka Mbinguni,
Ukitaka Mungu akupe Mali za gizani zilizofichwa, ukitaka madirisha ya Mbinguni yakufungukie baraka,
Kwanza acha dhambi na UOVU, okoka,
Kisha Badili formula, ZAKA toa 60% na 40% ndo iwe matumizi Yako,
Fanya ndani ya mwaka utanambia results!!