Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kuna mmoja jana nipo ferry natafuta DALADALA ya kwenda Mwenge, gari hakuna.

Ikaja BAJAJI nauli elfu 2 tuuuu. Yaan buku 2.
Mdada mzuri , classy ile mbaya najua elfu 2 anayo. Ila alijishauri sana anachungulia tu ktk bajaj kupanda anataka ila anawaza elfu 2 kulipia nauli wakati hapo ni jero tu kwa Daladala.

End of the day hakupanda ile bajaji.

Mtu wa hivi ukimuita aje muonane utaskia "Nirequestie Uber/Bolt daladala siwezi"
Sisi hatujawah kuwa na Hela 😂😂😂
 
Hata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....

Screenshot_20230925_133911_Swahili Bible Offline.jpg
 
Wameshasema mbona mpwa 😀😀😀
wanawake wengi hatufanyi starehe tunadandia starehe za wanaume mwanamke kuspend 1 million aloitafuta ni kazi sana😂😂
Hapo kuna ukweli. Mwanamke hata akinunua muwa barabarani kama mko naye basi jua hiyo hela ya muwa itabidi uirudishe tena na riba ya 10K² 😁
 
Hata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....

View attachment 2761772
Ukitaka kujua maana ya MAISHA jiangalie wewe sahivi ulivyo na AFYA njema alafu vuta picha baada ya Masaa mawili mbele umepata AJALI na kukatika MIGUU utakuwa the same?...
 
😂😂😂Yani lazima irudi kwanza hata kutukopa hatutaki mpenz wangu alibanwa na ishu muhimu akaniazima 350K Yani Hadi usiku niliweweseka Kila mda nakunywa maji 😀😀 Yani sisi ni special Case😀😀
Kuna mwamba alicoment moja ya UZI akasema kuna jamaa yake alikuwa hana Kodi analia lia, MKE wake akawa anampa tu MOYO pole mpenzi yatapita, pambana upate kodi.

Sasa kuna siku akafungua kabati la nguo ndani akakuta 900k Mkewe kazificha. JAMAA alipita nazo jumla jumla.
 
Hata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....

View attachment 2761772
Kifo kiache tu mpwa kinafanya maisha wakt mwingine yaonekane hayana maana kabisa
 
Kuna mwamba alicoment moja ya UZI akasema kuna jamaa yake alikuwa hana Kodi analia lia, MKE wake akawa anampa tu MOYO pole mpenzi yatapita, pambana upate kodi.

Sasa kuna siku akafungua kabati la nguo ndani akakuta 900k Mkewe kazificha. JAMAA alipita nazo jumla jumla.
Hahha mm Huwa sifich alijua siku hiyo Nina kibunda na ningekataa ningekuwa mchawi😀😀😀
 
Alirudisha baada ya siku nne hiv baada ya wiki 2 nikamkopa laki 2 nafikir sijalipa had Leo na Ilikuwa mwaka jana 😂😂😂😂
Hahahah nyie viumbe, ndio maana tuliambiwa tuishi na nyie kwa Akili..
 
Ukitaka utoboe haraka na kupata utajiri wa Kutoka Mbinguni,

Ukitaka Mungu akupe Mali za gizani zilizofichwa, ukitaka madirisha ya Mbinguni yakufungukie baraka,

Kwanza acha dhambi na UOVU, okoka,

Kisha Badili formula, ZAKA toa 60% na 40% ndo iwe matumizi Yako,

Fanya ndani ya mwaka utanambia results!!
 
😂😂😂Sasa kosalangu ni lipi
Kutolipa madeni kunafunga baraka ya pesa,

Uhitaji hautokauka upande wako, wakati huo huo utawaona uliowakopa wakishamiri.

Ni mara nyingi sana niliowakopa na wasiniridishie,hurudi tena kwangu kunikopa.

Imeandikwa ni heri Kutoa kuliko kupokea,

Wanawake wengi Si matajiri pia sababu Si watoaji wa pesa!!
 
Alinisamehe sikunyingi
 
Back
Top Bottom