Km wanatimiza mahitaji yote wataheshimika mpk washangae!!Umesahau kukamilisha sentensi halafu tumeambiwa tuwatii hao wanaotutunza🤣
Kivumbi kipo hapo kwenye kutiiana🤣🤣 Siku hizi tumeota mapembe, Yani uambiwe usiende kikoba halafu kweli utulize dako nyumbani? Basi mambo mvurugano tu🤣🤣
Kosa pesa uone chuchu inavyozungushwa km anasearch frequency za DW 🤣🤣🤣Unajua wew ni chizi😂😂😂
😂😂😂😂Mfano...
Ni mwendo wa kujiachia wizo 🤣🤣🤣
😂😂😂NimechekaKosa pesa uone chuchu inavyozungushwa km anasearch frequency za DW 🤣🤣🤣
Afu sisi ndo tunasikia raha sana 😜Kumbe na nyie mnapenda hako kamchezo..
Habari ndo hiyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo huna nguvu za kiume 🤣🤣🤣Na sisi tukiwa na hela tunapiga kimoja tu.
Kuna TANZANITE tupu kwnye huu uzi, umeniongzea ktu mkuu[emoji39][emoji39]Hii rule ipo kwenye nyanja 5;
1. Kibinafsi
2. Kifamilia
3. Kiimani
4. Kikazi
5. Kimahusiano
Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani.
Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Basi tujitahidi katika kuishi Tuishi kweli kweli na katika Kuabudu tuabudu Kwelikweli, 10 percent rule inataka hivyo.
Mimi binafsi kwa kila hela inayoingia natenga 10% ya kufarahia maisha (Starehe). Natenga 10% kwa ajili ya Sadaka na mambo ya kijamii, ambayo kiimani inaitwa Fungu la Kumi. 80% zingine nazielekeza katika mambo mengine ambayo sitayaweka wazi.
Nakushauri kama kijana mpambanaji kila hela unayopata basi tenga 20% pembeni. Ambayo 10% inaenda katika starehe na 10% inaenda katika Sadaka na Jamii. Hela yoyote upatayo iwe kihalali au kwa wizi hii rule itakusaidia sana.
Nakuasa kuanzia leo tekeleza 10% percent rule, watu wengi wanafariki/kufa bila kuishi maisha. Just enjoy maisha, tenga 10℅ kwa kila kipato chako kufurahia maisha hapa Duniani.
Haujui siku yako ya kufa utaacha hela nyingi (labda) watu watagombania na kuzitawanya. Muda huo wewe hujazifaidi hela zako. Faidi hela zako kabla haujafa, kifo kipo anytime.
Ukipata 100,000 tenga 10,000 ya starehe, tenga 10,000 nyingine ya Sadaka.
Ikumbukwe sadaka sio lazima uipeleke Msikitini au Kanisani, unaweza mpa mtu yeyote ambae unahisi itamsaidia kwa lolote. Faida yake ni kubwa kuliko hicho kidogo ulichotoa.
Kuna watu wanafanya kazi mpaka wanakufa hawajawahi kuishi.
Utakalishwa kila style, usiombe uwe na nywele ndefu zitavutwa mpk upate kizungu zungu 🤣🤣🤣😂😂😂Nimecheka
Tena uwe umemuomba anaifanyia kazi elayake kisawasawa😂😂
Huo ni ukatili wa kinjisiaUtakalishwa kila style, usiombe uwe na nywele ndefu zitavutwa mpk upate kizungu zungu 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 hatareee inakuwa vitaHuo ni ukatili wa kinjisia
😂😂😂Ukitoka hapo hoi
Ukiwa na Rasta si anaweza kuzing'oa?😂😂😂
😂😂🤣🤣🤣🤣 hatareee inakuwa vita
Yesu alimwambia uza vyote ulivyonavyo wagawie maskini Kisha utakuwa na hazina Mbinguni.Sasa AGANO jipya si ya KITAPELI?
Kuuza MALI kwa ajili ya DINI ni sahihi kwa upande wako? Je ni lazima niuze zote? Au nigawe kwa msingi wa 10%..?
Hela nakuja nazo.. waswas unatokea wapi Mamy..?Nikiwa sinaela nakosa confidence ya kupokea wageni 😀😀subir subiri ila mwambie mtumishi kama utaaga kwenye ukoowenu kuwa umepata mwaliko 😂😂😂
Umeona hiyo.....🤣Anajenga hamalizi miaka 10 ANAKUFA na bado ana deni la UJENZI.. Na Maisha hajayafaidi na MWANAUME mwenzie anahamia hapo na kumuoa MKE wake.
Ndio maana Wakoloni walituwezea hapo.Yesu alimwambia uza vyote ulivyonavyo wagawie maskini Kisha utakuwa na hazina Mbinguni.
Hakusema auze Kisha akatoe ten parcent ya alichouza.
Ikiwa mtu anaua mtoto wake Ili awe tajiri, waamini Mungu Kutoa 50% wanaona ngumu, Umaskini utawahusu sana.