Kanuni ya Nguvu ya Umakini/Focus (Kanuni za Ulimwengu na Akili)

Kanuni ya Nguvu ya Umakini/Focus (Kanuni za Ulimwengu na Akili)

Shukran mkuu qa somo zuri ambalo limeniongezea nilichokuwa sina,na kunijazia kili nlichokuw nacho ambacho ckufahamu maan yake.
Nasubiri mwendlezo......
 
brother apollo nakuunga mkono kwa mada yako,kila kitu ulichokisema nikweli.
miaka michache iliyopita nilikuwa katka khar ya utafiti kuhusu maisha yangu,juu ya namna ufaham wangu unavyochangia mwenendo wa maisha yangu.na nimefanya utafiti katika sehem kuu mbili,kielim na katika mazingra yangu ya kazi.
kwa upande wa kielimu,mara nying mambo mengi niliyokuwa nikiyafikilia sana ndiyo ambayo yalitokea,na hata mengne yalikuja tokea kwa mda,mfano mzur ni kuhusu suala la kazi,mwaka juzi nkwa namaliza chuo,nilikuwa nikifikilia sana suala la kaz ambapo ufaham wangu na hisia vyote vilinijuza yakuwa mara tu nitakapomaliza nitaajiriwa,na kwel nilipomaliza chuo na kwenda field nikaajiliwa,nina mambo meng yakuthbitisha katika mada hii,kama kuna mtu atahtaj kujua zaid ktk mifano then aniambie nitoe mambo halis hata sasa,
thankx.
 
Kaka uwe unanitag kwenye mada zako, napenda kujifunza zaidi
 
Hivi inawezekana binadamu tukawa na sense ambazo zinafanya kazi out of normality na Je utawezaje kuzijua...
 
Nondo za nguvu mkuu, mungu akuongoze uwe vizuri zaidi...

Ili kujenga uelewa kwa sie watazamaji tutilie hata citations ili tuchimbe zaidi ikiwezekana tukupiku au vip
 
Ahsante naomba unitag pia nimejifunza mengi na umenisaidia kuondoa baadhi ya tanziko.
 
Thank you Mkuu Apollo .

Una Elimu fikirishi sana,Naomba uwe unani-tag katika Mabandiko yako humu jamvini,Ahksante.
 
Elimu kama hii huezi kuipata darasani ubarikiweee sana
Mtoa mada sijui umezamia wapi majukum au?
 
Nashukuru mkuu,kwa umri wang mdogo,sjawahi kukutana na professor,japo naamini anastahili kuwa sifa pmj na uwezo ulionao Mr Apollo,.be blessed
 
Back
Top Bottom