brother apollo nakuunga mkono kwa mada yako,kila kitu ulichokisema nikweli.
miaka michache iliyopita nilikuwa katka khar ya utafiti kuhusu maisha yangu,juu ya namna ufaham wangu unavyochangia mwenendo wa maisha yangu.na nimefanya utafiti katika sehem kuu mbili,kielim na katika mazingra yangu ya kazi.
kwa upande wa kielimu,mara nying mambo mengi niliyokuwa nikiyafikilia sana ndiyo ambayo yalitokea,na hata mengne yalikuja tokea kwa mda,mfano mzur ni kuhusu suala la kazi,mwaka juzi nkwa namaliza chuo,nilikuwa nikifikilia sana suala la kaz ambapo ufaham wangu na hisia vyote vilinijuza yakuwa mara tu nitakapomaliza nitaajiriwa,na kwel nilipomaliza chuo na kwenda field nikaajiliwa,nina mambo meng yakuthbitisha katika mada hii,kama kuna mtu atahtaj kujua zaid ktk mifano then aniambie nitoe mambo halis hata sasa,
thankx.