Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.

Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".

Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe?

Hela na afya vyote anavyo lkn akina dada wanataka awe na hela halafu afya asiwe nayo.

Screenshot_20240521-222317_1.jpg
 
Hivi unene ni afya? Mbona unatumia kitovu kufikiri.

Mabillioni waliyo nayo( dangote, musk, zuckerberg, gates, Ellison, bezos, Mo, motsepe,ned nwoko) kwann ni wembamba na wana miili ya kawaida?

In short your stupid hujui chochote kuhusu unene, afya, hela kakojoe ulale
Stamina kama ya lori la mafuta likiwa spidi 120
 
Huyu baba style ya kusex ni kulala chalii afu mamsapu ajipimie.
Na akikaa vibaya anakalia hilo puto, mwisho lipasuke "pwaaaa"

Sasa si case ya mauaji hii, abaki hivyo hivyo single. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwel,,, inabid umfunge miguu upside down,then mamaa unakamata dali kwa juu unakua kam unapga pushup.

Sjui umeweza ku imagine 😂😂
 
sio kwel,,, inabid umfunge miguu upside down,then mamaa unakamata dali kwa juu unakua kam unapga pushup.

Sjui umeweza ku imagine [emoji23][emoji23]
Hata wee uki imagine, unaona inakataa kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wee uki imagine, unaona inakataa kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂bas kabla ya game,, unatafta ile mikanda ya kupunguza tumbo,, yaani unabana haswaa then ingia mzigoni.
 
cool down hommie money is everthing if she says you have big stomach she is cruel leave her take another woman
 
  • Thanks
Reactions: G4N
[emoji23][emoji23][emoji23]bas kabla ya game,, unatafta ile mikanda ya kupunguza tumbo,, yaani unabana haswaa then ingia mzigoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauko serious weyeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nakupa mbinu unaleta ujuaji.
Unipe mbinu? Mie huyo hata kumsikiliza mtongozo wake, mda cna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unipe mbinu? Mie huyo hata kumsikiliza mtongozo wake, mda cna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Kilangakomo🚶🏾‍♀️🖐🏾
 
Hivi unene ni afya? Mbona unatumia kitovu kufikiri.

Mabillioni waliyo nayo( dangote, musk, zuckerberg, gates, Ellison, bezos, Mo, motsepe,ned nwoko) kwann ni wembamba na wana miili ya kawaida?

In short your stupid hujui chochote kuhusu unene, afya, hela kakojoe ulale
Your haitumiki hapo. Andika YOU ARE.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]Kilangakomo[emoji2218][emoji1609]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii
 
Mwanamke huwa hajui anachotaka kwahiyo km mwanaume, tafuta hela kukidhi mahitaji yako na ya familia.
Ukiona unatafuta hela kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke ujue unakaribia kufa
 
Mwanaume mwenye mafanikio ni yule ambaye yuko vizuri kifedha, kiafya na kifamilia. Unene sio ishu jomba. Fanya mazoezi makali uondoe hiyo ndambi. Saa 8 mchana nenda jogging hata ya dakika 20. Pia punguza kula hovyo. Faida za mwili mzuri sio kunasia mademu tu. Ni kwa faida yako kiafya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauko serious weyeee.
Dear Cocastic

Salamu sana. Baada ya salamu ningependa kujua kama wewe mzima. Mimi huku naendelea vizuri.

Dhumuni la ujumbe ni kutaka kukujulisha kuwa nimetengua uamuzi wangu wa kutokukutongoza kwa kuhofia una mtu. Nitakupigia simu nikujulishe wapi tukutane ili uje ni-activate sounds zangu. Andaa points za kunikataa.

Ni yuleyule akupendae
MATONGEE
 
Back
Top Bottom