- Thread starter
- #21
Dear Matongee ,Dear Cocastic
Salamu sana. Baada ya salamu ningependa kujua kama wewe mzima. Mimi huku naendelea vizuri.
Dhumuni la ujumbe ni kutaka kukujulisha kuwa nimetengua uamuzi wangu wa kutokukutongoza kwa kuhofia una mtu. Nitakupigia simu nikujulishe wapi tukutane ili uje ni-activate sounds zangu. Andaa points za kunikataa.
Ni yuleyule akupendae
MATONGEE
Sizitaki hata salaam zako. Kwanza unikome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako.
Dhumuni la barua hii ni kukujulisha kuwa, kwanza sikupendi, sikutaki na hivyo usijisumbue hata kunitafuta. Mimi siyo saizi yako. Nikupeleke wapi wewe Matongee mwenye sura kama kinyago cha mpapure?
Tafadhali tusisomane.
Ni mimi G4N, kwa niaba ya cocastic .
My take: Hivi miaka hii kuna wadada wenye majibu kama haya?