Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

Dear Matongee ,

Sizitaki hata salaam zako. Kwanza unikome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako.

Dhumuni la barua hii ni kukujulisha kuwa, kwanza sikupendi, sikutaki na hivyo usijisumbue hata kunitafuta. Mimi siyo saizi yako. Nikupeleke wapi wewe Matongee mwenye sura kama kinyago cha mpapure?

Tafadhali tusisomane.

Ni mimi G4N, kwa niaba ya cocastic .


My take: Hivi miaka hii kuna wadada wenye majibu kama haya?
 
Kwani cocastic ni mwanamke??[emoji1]

Nachojua hili ni dume lakini gasho.
 
😄😄 akigundua umekata ringi anakupa majibu mabaya zaidi ya hayo
 
Huyu baba style ya kusex ni kulala chalii afu mamsapu ajipimie.
Na akikaa vibaya anakalia hilo puto, mwisho lipasuke "pwaaaa"

Sasa si case ya mauaji hii, abaki hivyo hivyo single. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe hufanani na ulichocoment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…