Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ;

◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali.

◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
 
Simba ana kazi ya kupata goli zaidi ya 1 bila kukubali droo wala kufungwa. Ushindi wowote wa kuanzia 1-2, 2-3 n.k Simba kapita, droo yoyote katoka, ushindi wa 0-1 penati.
 
Mtani, unatakiwa ushindekuanzia goli 2 ndo uingie nusu fainali..!! Wale nyoko kuwafunga 2 kwao sahau..!!
Kupata goli 2 inawezekana. Tatizo ni kupata hizo goli mbili huku wewe hufungwi na unafunguka. Kiwango cha Ayoub ndo kitaamua.
 
Back
Top Bottom