I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
Ni kweli. ki vipi? Ulishawahi kushuhudia inapigwa penetration pass kuvuka ukuta wa mabeki, nyuma ya ukuta Kuna kuwa na striker, coz kashajua yupo offside atakachokifanya atauacha mpira, halafu Kuna mchezaji atafunguka kutokea mbele ya mabeki ku-win ile pasi mpenyezo.Nahisi kama siyo kweli,
Rebound ipi mkuu?? Ya keeper au kugonga mwamba?RE-BOUND HAINA OFFSIDE.
Ready to be corrected
Mkono haupo kwenye sheria ya offsideMchezaji akizidi kichwa, mkono, bega ni offside.
Tatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshimaHii inaleta simanzi kwa mashabiki wa yanga na critics wa goli la sakho kwa ujumla
Huyu hata akiwa anakata gogo huwa anahisi Yanga inamuingilia hahahaaaaTatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshima
Ujinga tu saa zingine ni kujishushia heshima mtu gani hawezi jadili kitu bila hisia za ushabiki, utazani hizo kanuni zilitungwa ka ajili ya Simba na YangaHuyu hata akiwa anakata gogo huwa anahisi Yanga inamuingilia hahahaaaa
Kuna watu ni matahira when comes to Yanga and simbaUjinga tu saa zingine ni kujishushia heshima mtu gani hawezi jadili kitu bila hisia za ushabiki, utazani hizo kanuni zilitungwa ka ajili ya Simba na Yanga
Sasa hii ndio raha ya mpira, Sasa kadi ya nini tena!3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha kadi ya njano ikiwa umempiga chenga za maudhi zenye nia ya kumdharirisha mpinzani wako.
Hapa umetupiga changa la machoRE-BOUND HAINA OFFSIDE.
Ready to be corrected
Yeah Messi n Suarez waliwahi fanya hiiPenalty ina ruhusiwa kutoa pasi
Njoo na kaufafanuzi sasa mkuu [emoji16]Hapa umetupiga changa la macho
Kwa mfano player A apiga shuti kuelekea golini lakinwa wakati anapiga player B ambaye ni teammate mwenzie tayari yupo kwenye nafasi ya kuotea. Lile shuti la playerA linagonga mwamba na player B anafunga kutokana na hiyo rebound. Hilo goli litakataliwa becoz ya offsideNjoo na kaufafanuzi sasa mkuu [emoji16]
Mimi nimeongea jambo ambalo lipo, utopolo mna malalamiko ya kipuuzi kwenye ushindi wowote anaopata simbaTatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshima
Mi sio asskisser kama weweHuyu hata akiwa anakata gogo huwa anahisi Yanga inamuingilia hahahaaaa
Na usiguswe kwa mkonoHii kanuni ya 6, toka utotoni enzi za chandimu tunaijua.
. Mpira wa kurusha ukiingia golini bila kuguswa na mchezaji yeyote sio goli.