I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
Ni kweli. ki vipi? Ulishawahi kushuhudia inapigwa penetration pass kuvuka ukuta wa mabeki, nyuma ya ukuta Kuna kuwa na striker, coz kashajua yupo offside atakachokifanya atauacha mpira, halafu Kuna mchezaji atafunguka kutokea mbele ya mabeki ku-win ile pasi mpenyezo.Nahisi kama siyo kweli,
Hivyo basi unaweza kuwa offside, lkn kama hautoingilia mchezo, unakuwa umeivunja.