Kanuni za soka ambazo huzijui!

Kanuni za soka ambazo huzijui!

Nahisi kama siyo kweli,
Ni kweli. ki vipi? Ulishawahi kushuhudia inapigwa penetration pass kuvuka ukuta wa mabeki, nyuma ya ukuta Kuna kuwa na striker, coz kashajua yupo offside atakachokifanya atauacha mpira, halafu Kuna mchezaji atafunguka kutokea mbele ya mabeki ku-win ile pasi mpenyezo.

Hivyo basi unaweza kuwa offside, lkn kama hautoingilia mchezo, unakuwa umeivunja.
 
Mchezaji atakayepiga mpira wowote uliyokufa [penalti, faulo ya kawaida, kona n.k] ikitokea mpira ukagonga mwamba na kurudi uwanjani bila mchezaji yoyote kugusa, hataruhusiwa kujihusisha na mpira ule mpaka uguswe na mtu mwingine kwanza. Mf. Mchezaji akipiga penalti halafu igonge nguzo na kurudi ndani bila kipa kugusa, haruhusiwi kucheza ile rebound mpaka second player auguse.
 
Njoo na kaufafanuzi sasa mkuu [emoji16]
Kwa mfano player A apiga shuti kuelekea golini lakinwa wakati anapiga player B ambaye ni teammate mwenzie tayari yupo kwenye nafasi ya kuotea. Lile shuti la playerA linagonga mwamba na player B anafunga kutokana na hiyo rebound. Hilo goli litakataliwa becoz ya offside
 
Tatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshima
Mimi nimeongea jambo ambalo lipo, utopolo mna malalamiko ya kipuuzi kwenye ushindi wowote anaopata simba

Kwani ni uwongo kuwa utopolo wengi hamkupinga uhalali wa goli la sakho na kudai offside?
 
Back
Top Bottom