Mimi nimeandika kitu ambacho ni cha kweli ulipaswa kunipinga kwa hoja lakini ukani attack kwa kuniita mpumbavuUjinga tu saa zingine ni kujishushia heshima mtu gani hawezi jadili kitu bila hisia za ushabiki, utazani hizo kanuni zilitungwa ka ajili ya Simba na Yanga
Wewe ndio tahira na sio mara ya kwanza unanitukanaKuna watu ni matahira when comes to Yanga and simba
Mkuu Scars hivi siwez kupata kitabu kinachofundisha mziki wa hip hop?Wewe ndio tahira na sio mara ya kwanza unanitukana
Mi nishakuchulia kama loser ambaye huwezi ku control emotions zako pale unapo face negative thoughts
Una lugha chafu and yet una-pretend kuonekana muungwana kwa wadau ambao mna mtazamo sawa
Hii nilikuwa siijui mpaka leo.Mchezaji atakayepiga mpira wowote uliyokufa [penalti, faulo ya kawaida, kona n.k] ikitokea mpira ukagonga mwamba na kurudi uwanjani bila mchezaji yoyote kugusa, hataruhusiwa kujihusisha na mpira ule mpaka uguswe na mtu mwingine kwanza. Mf. Mchezaji akipiga penalti halafu igonge nguzo na kurudi ndani bila kipa kugusa, haruhusiwi kucheza ile rebound mpaka second player auguse.
Nisamehe kiongozi tusifike huko!!Wewe ndio tahira na sio mara ya kwanza unanitukana
Mi nishakuchulia kama loser ambaye huwezi ku control emotions zako pale unapo face negative thoughts
Una lugha chafu and yet una-pretend kuonekana muungwana kwa wadau ambao mna mtazamo sawa
Hoja ipi uzi upo clear hauja taja habari za ushabiki umeingiza vitu ambavyo ni irrelevant kabisaMimi nimeandika kitu ambacho ni cha kweli ulipaswa kunipinga kwa hoja lakini ukani attack kwa kuniita mpumbavu
Huyo uliye mquote kanitukana lakini kwasababu yuko katika upande wako hujaona kama ni tatizo umechuna halafu unakuja kusema najishushia heshima
Hivi wewe na huyo ambao mninitupia matusi hamjaona heshima yenu mlioishusha?
Acha unafki be real
Shukran mkuu ngoja nijaribu kukitafuta.Kuna kitabu nakumbuka alikuwa anauza nash mc kimechapishwa na Gego master, mwaka juzi kilikuwa kinaitwa nguzo tano za hip hop nadhani humo unaweza kujifunza mengi
View attachment 2156513
Unashangaa Nini wakati imeshawahi kutokea hapa kwetu Tz pale kwa Mkapa stadium?No 4. Kwahiyo halitakuwa goli? Sasa kona inapatikana vipi wakati mpira uko nyavuni?.
Shukran mkuu ngoja nijaribu kukitafuta.
Mjibu kwa kwa hoja siyo kuitana wapumbavu wakati hata wewe hujaleta hoja yoyote juu ya mabano yake. Sasa hapo tutajua mpumbavu niyupi Kati yenu?Tatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshima
Especially you and your colleague.Kuna watu ni matahira when comes to Yanga and simba
Umekuja na ID ya pili kuendeleza ligi hoja ipi unayo ongelea?Mjibu kwa kwa hoja siyo kuitana wapumbavu wakati hata wewe hujaleta hoja yoyote juu ya mabano yake. Sasa hapo tutajua mpumbavu niyupi Kati yenu?
Nimesoma comments zote toka juu hakuna palipochafuka isopokuwa kuanzia kwako. Mjibu kwa hoja zinazofanana na maneno yake.
Ushauri tu lakini.
Ile ya imeuma mwamba afu inarudi mchezoniRebound ipi mkuu?? Ya keeper au kugonga mwamba?
Ni kweli kabisa, ndiyo maana timu ikiwa inashambulia huwa Kuna defenders wawili mpaka 3 hubaki, kwa kulijua hiloMkiwa kwenye nusu yenu,hakuna offside hata ukipokea mpira mbele ya beki wa mwisho.
Mf wapinzani wako kwenye,wanapiga kona kule kwao kabaki kipa tu ila mabeki wote wapo kuja kufungwa kona. Namba this wenu yupo karibu na kati Kati ya uwanja ila hajavuka yupo kwenye nusu yenu. Mkipangua kona mkampasia ,hayuko offside
Violence kwenye football hairuhusiwi hata kama ni mchezaji mwenzako, hivyo ni kosa. Sheria za mpira ni dakika 90, mechi inaweza kusitishwa kabla ya dakika 90 kama litatokea tukio lisilo la kimichezo, au sababu nyingine zilizo nje ya uwanja. Hivyo hata mkifungwa 10 mechi lazima ichezwe dakika zote.Hivi kwa mfano Mimi ni mchezaji na nipo uwanjani tunaendelea na mchezo kisha mchezaji mwingine wa timu yangu akafanya uzembe tukafungwa goli, kwa hasira nikafata na kumuwasha makofi naweza kupata kadi! ukizingatia kwamba nimemuwamba makofi mchezaji wa timu yangu?
Kingine ni kwamba, kwa mfano timu imefungwa mabao 6 kipindi cha kwanza sasa kipindi cha pili wakiamua wasiingie uwanjani kwamba wameshakubali kufungwa kuna kosa hapo au wanaruhusiwa?
Umejibu vyemaViolence kwenye football hairuhusiwi hata kama ni mchezaji mwenzako, hivyo ni kosa. Sheria za mpira ni dakika 90, mechi inaweza kusitishwa kabla ya dakika 90 kama litatokea tukio lisilo la kimichezo, au sababu nyingine zilizo nje ya uwanja. Hivyo hata mkifungwa 10 mechi lazima ichezwe dakika zote.
6. Inakuwa kona1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick.
2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa.
3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha kadi ya njano ikiwa umempiga chenga za maudhi zenye nia ya kumdharirisha mpinzani wako.
4. Utaoneshwa kadi ya njano na mpinzani wako atapewa kona ikiwa umejifunga goli kwa makusudi / Kwa kudhamiria.
- Mwamuzi anapaswa kujiridhisha kuwa umejifunga kwa makusudi ndipo akuadhibu.
5. Mchezaji anaweza kukataa kufanyiwa sub. Hakuna adhabu iliyoainishwa.
6. Mpira wa kurusha ukiingia golini bila kuguswa na mchezaji yeyote sio goli.
Ongezea na wewe.
View attachment 2154901