Kanuni za soka ambazo huzijui!

Kanuni za soka ambazo huzijui!

Ujinga tu saa zingine ni kujishushia heshima mtu gani hawezi jadili kitu bila hisia za ushabiki, utazani hizo kanuni zilitungwa ka ajili ya Simba na Yanga
Mimi nimeandika kitu ambacho ni cha kweli ulipaswa kunipinga kwa hoja lakini ukani attack kwa kuniita mpumbavu

Huyo uliye mquote kanitukana lakini kwasababu yuko katika upande wako hujaona kama ni tatizo umechuna halafu unakuja kusema najishushia heshima

Hivi wewe na huyo ambao mninitupia matusi hamjaona heshima yenu mlioishusha?

Acha unafki be real
 
Kuna watu ni matahira when comes to Yanga and simba
Wewe ndio tahira na sio mara ya kwanza unanitukana

Mi nishakuchulia kama loser ambaye huwezi ku control emotions zako pale unapo face negative thoughts

Una lugha chafu and yet una-pretend kuonekana muungwana kwa wadau ambao mna mtazamo sawa
 
Mkuu Scars hivi siwez kupata kitabu kinachofundisha mziki wa hip hop?
 
Mchezaji atakayepiga mpira wowote uliyokufa [penalti, faulo ya kawaida, kona n.k] ikitokea mpira ukagonga mwamba na kurudi uwanjani bila mchezaji yoyote kugusa, hataruhusiwa kujihusisha na mpira ule mpaka uguswe na mtu mwingine kwanza. Mf. Mchezaji akipiga penalti halafu igonge nguzo na kurudi ndani bila kipa kugusa, haruhusiwi kucheza ile rebound mpaka second player auguse.
Hii nilikuwa siijui mpaka leo.
 
Wewe ndio tahira na sio mara ya kwanza unanitukana

Mi nishakuchulia kama loser ambaye huwezi ku control emotions zako pale unapo face negative thoughts

Una lugha chafu and yet una-pretend kuonekana muungwana kwa wadau ambao mna mtazamo sawa
Nisamehe kiongozi tusifike huko!!
 
Mkuu Scars hivi siwez kupata kitabu kinachofundisha mziki wa hip hop?
Kuna kitabu nakumbuka alikuwa anauza nash mc kimechapishwa na Gego master, mwaka juzi kilikuwa kinaitwa nguzo tano za hip hop nadhani humo unaweza kujifunza mengi

1647683520635.png
 
Mimi nimeandika kitu ambacho ni cha kweli ulipaswa kunipinga kwa hoja lakini ukani attack kwa kuniita mpumbavu

Huyo uliye mquote kanitukana lakini kwasababu yuko katika upande wako hujaona kama ni tatizo umechuna halafu unakuja kusema najishushia heshima

Hivi wewe na huyo ambao mninitupia matusi hamjaona heshima yenu mlioishusha?

Acha unafki be real
Hoja ipi uzi upo clear hauja taja habari za ushabiki umeingiza vitu ambavyo ni irrelevant kabisa
 
Tatizo lako huwa huwezi kutoutisha mada nikikuita mpumbavu sidhani kama nimekukosea heshima
Mjibu kwa kwa hoja siyo kuitana wapumbavu wakati hata wewe hujaleta hoja yoyote juu ya mabano yake. Sasa hapo tutajua mpumbavu niyupi Kati yenu?

Nimesoma comments zote toka juu hakuna palipochafuka isopokuwa kuanzia kwako. Mjibu kwa hoja zinazofanana na maneno yake.

Ushauri tu lakini.
 
Kuna watu ni matahira when comes to Yanga and simba
Especially you and your colleague.
Semeni basi yanayofanana na asemayo. Najua mtadhani natetea lakini mkitafakari kwa hekima bila jazba na kutupilia mbali Uyanga na Usimba mtauona ukweli ninaoulenga.
 
Mjibu kwa kwa hoja siyo kuitana wapumbavu wakati hata wewe hujaleta hoja yoyote juu ya mabano yake. Sasa hapo tutajua mpumbavu niyupi Kati yenu?

Nimesoma comments zote toka juu hakuna palipochafuka isopokuwa kuanzia kwako. Mjibu kwa hoja zinazofanana na maneno yake.

Ushauri tu lakini.
Umekuja na ID ya pili kuendeleza ligi hoja ipi unayo ongelea?
 
Mkiwa kwenye nusu yenu,hakuna offside hata ukipokea mpira mbele ya beki wa mwisho.
Mf wapinzani wako kwenye,wanapiga kona kule kwao kabaki kipa tu ila mabeki wote wapo kuja kufungwa kona. Namba this wenu yupo karibu na kati Kati ya uwanja ila hajavuka yupo kwenye nusu yenu. Mkipangua kona mkampasia ,hayuko offside
 
Ni kweli kabisa, ndiyo maana timu ikiwa inashambulia huwa Kuna defenders wawili mpaka 3 hubaki, kwa kulijua hilo
 
Hivi kwa mfano Mimi ni mchezaji na nipo uwanjani tunaendelea na mchezo kisha mchezaji mwingine wa timu yangu akafanya uzembe tukafungwa goli, kwa hasira nikafata na kumuwasha makofi naweza kupata kadi! ukizingatia kwamba nimemuwamba makofi mchezaji wa timu yangu?
Kingine ni kwamba, kwa mfano timu imefungwa mabao 6 kipindi cha kwanza sasa kipindi cha pili wakiamua wasiingie uwanjani kwamba wameshakubali kufungwa kuna kosa hapo au wanaruhusiwa?
 
Violence kwenye football hairuhusiwi hata kama ni mchezaji mwenzako, hivyo ni kosa. Sheria za mpira ni dakika 90, mechi inaweza kusitishwa kabla ya dakika 90 kama litatokea tukio lisilo la kimichezo, au sababu nyingine zilizo nje ya uwanja. Hivyo hata mkifungwa 10 mechi lazima ichezwe dakika zote.
 
Umejibu vyema
 
1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick.

2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa.

3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha kadi ya njano ikiwa umempiga chenga za maudhi zenye nia ya kumdharirisha mpinzani wako.

4. Utaoneshwa kadi ya njano na mpinzani wako atapewa kona ikiwa umejifunga goli kwa makusudi / Kwa kudhamiria.

- Mwamuzi anapaswa kujiridhisha kuwa umejifunga kwa makusudi ndipo akuadhibu.

5. Mchezaji anaweza kukataa kufanyiwa sub. Hakuna adhabu iliyoainishwa.

6. Mpira wa kurusha ukiingia golini bila kuguswa na mchezaji yeyote sio goli.
Ongezea na wewe.

View attachment 2154901
6. Inakuwa kona

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom