greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Zifuatazo ni Kanuni kadhaa ushikaji/Uwana, ambazo wanaume huwa nazo na kuzifuata bila kufundishwa...
- Usitembee(mahusiano) na ex wa jamaa yako.
- Mshkaji akimuona manzi na akampenda na kukwambia, basi huyo manzi kashakuwa shemeji.
- Msaidie mshkaji kumpata huyo manzi, mpambe huyo mshkaji.
- Mkienda Kula bata, mgawane gharama.
- Usimtongoze wala kutembea na dada wa mshkaji, tena kaa mbali na ndugu wa kike wa mwana/ mshkaji.
- Usiruhusu mwana ajipige tattoo ya manzi/ demu.
- Kama mmekunywa, usije ruhusu mwana afanye kitu cha kijinga/kujidhalilisha
- Ukigundua shem anachepuka, mjulishe mwana...maamuzi juu yake.
- Kama shem akipiga na akauliza mwana yuko wapi, wewe sema mpo wote.
- Shem akiuliza kama mwana anachepuka, mtetee mwana kwa kila namna
- Mwana akiwa kwenye ugomvi, basi huo ni ugomvi wako pia.....