wazee wa fekero account...
Aibu yaoooo
na kura hatuwachi kupigaaa...
Hakuna tabu endeleeni nyie wa Ajegunle ma mumus.
Am not voting for Diamond.
Uzalendo aliondoka nao mwalimu nyerere!
Kama nakukera sana jitie dole la m..ndu!
owo ni coco...sina mda wa kwenda kutafuta hiyo fekero account no wonder wewe ndo umefungua uka-screen shot then ukafuta..kwani mnashindwa kitu nyie...funny enough mmeweka na kidani kabsa..!! Mbona umetoa sasa iyo accont feki uliyosema davido katuchana?? Shame on u..!! Kuwa na uhakika kwanza ndo ukuje kumwaga mambo yenu hapa vinginevyo mtaishia kuumbuka...chaii i still voting to him oh

Sawa naacha.
Nafurahi umekerekwa.
hahaaaa mrembo umemsoma bikira wa kisukuma leo?
Owky safi :thumbup: cjakerekwa nimefikiria ukijipiga ww nikaone sio poa"
Sina huo muda mchafu wa kufungua fekero.
Wakina wema na jokate wanapromote kumdis dai kwa sababu ya kugongwa na kuachwa sasa unakuta janaume zima kama idris eti nalo linapromote kwnye insta vote for davido, sasa swali ni je na wao waligongwa na dai ama??? mnatudhalilisha wanaume bana...mambo ya kike waachieni wanawake mnatia aibu...yule kadinda simshangai kwa sababu na yeye anakojoa kwa kuchuchumaa tu ss nyie wengine namna gani??? :smow:
Mwongo wewe.
Wanaokerekwa kama wewe iviiii...
Naona sasa unanisakasaka...yani believe me, am not in the mood.
Tuwasamehe tu Ankal. Hawa wana stress sasa wanatafuta jambo la kuwasahaulisha ndio maana wanajikuta wanaaibika hivi.
Mashabiki wa domo tulieni jamani, tokea juzi mnakurupuka tu hamjifunzi?
Stress za tuzo za KTMA zinawafanya mnaonekana mahayawani.Mlianza na acc fake ya KTMA, mkafuatia na majigambo kua domo kanunuliwa gari, leo mna acc fake ya Davido!
Chineke woooooo, hii ni zaidi ya aibu!
Hivi KTMA 2015 ishafanyika:what: