(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

(Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015

Status
Not open for further replies.
owo ni coco...sina mda wa kwenda kutafuta hiyo fekero account no wonder wewe ndo umefungua uka-screen shot then ukafuta..kwani mnashindwa kitu nyie...funny enough mmeweka na kidani kabsa..!! Mbona umetoa sasa iyo accont feki uliyosema davido katuchana?? Shame on u..!! Kuwa na uhakika kwanza ndo ukuje kumwaga mambo yenu hapa vinginevyo mtaishia kuumbuka...chaii i still voting to him oh

Am gonna voteeee until I die ooo
 
Sina huo muda mchafu wa kufungua fekero.
 
Mashabiki wa domo tulieni jamani, tokea juzi mnakurupuka tu hamjifunzi?
Stress za tuzo za KTMA zinawafanya mnaonekana mahayawani.Mlianza na acc fake ya KTMA, mkafuatia na majigambo kua domo kanunuliwa gari, leo mna acc fake ya Davido!
Chineke woooooo, hii ni zaidi ya aibu!
 
Wakina wema na jokate wanapromote kumdis dai kwa sababu ya kugongwa na kuachwa sasa unakuta janaume zima kama idris eti nalo linapromote kwnye insta vote for davido, sasa swali ni je na wao waligongwa na dai ama??? mnatudhalilisha wanaume bana...mambo ya kike waachieni wanawake mnatia aibu...yule kadinda simshangai kwa sababu na yeye anakojoa kwa kuchuchumaa tu ss nyie wengine namna gani??? :smow:

Hivi jamani nyie mnaingiaga instagram ipi?Idrissa hajawahi kumpigia kura davido na wala hamsapoti hata siku moja!katika wasanii.na celebrity wanaoongoza kupiga kura kwa diamond basi idrissa anaongoza!

Idrissa yuko tofauti na vilaza wengine pleasee mkuu usimchanganye kwenye hilo kundi
 
Mashabiki wa domo tulieni jamani, tokea juzi mnakurupuka tu hamjifunzi?
Stress za tuzo za KTMA zinawafanya mnaonekana mahayawani.Mlianza na acc fake ya KTMA, mkafuatia na majigambo kua domo kanunuliwa gari, leo mna acc fake ya Davido!
Chineke woooooo, hii ni zaidi ya aibu!

Hivi KTMA 2015 ishafanyika:what:
 
Hahahhaha walahi wazalendo waneshikiwa pabaya, mara watengeneze Acc fake ya KILL, leo tena wametengeneza ya Davido hahahhaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom