Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi KTMA 2015 ishafanyika:what:
Au ndo hii naskia kuna mtu kavunja record ya 20%
mi nimepigaaa hadi wamenambia nipumzike jaman kwa leo..endeleeni tu nimechoka kulishwa ndimuu bwahahahah
Hao ndio wazee wa Lambojini hawamshangai boss wao kujiita Dangote.
mi nimepigaaa hadi wamenambia nipumzike jaman kwa leo..endeleeni tu nimechoka kulishwa ndimuu bwahahahah
Hivi KTMA 2015 ishafanyika:what:
Au ndo hii naskia kuna mtu kavunja record ya 20%
hahahaha mama charty kumbe na wewe humo kwenye harakati hizi.
Vote vote for davido.
Africa kwanza tanzania badae.
piga kwa email na twita mkuu...zile 20 20 hazitoshi kushinda hii vita.....
Huu ni ushahidi wa wale wazee wa mult id hapa umejisahau ukajiquote kwa id moja murika mwizi.
anajikosha kwa wema shenzyyy...ngoja nikamsome haha
Hahahhaha walahi wazalendo waneshikiwa pabaya, mara watengeneze Acc fake ya KILL, leo tena wametengeneza ya Davido hahahhaha
bwahahahah.. Yeye si amezoea kutulambisha ndimu sasa ngoja tu nimpe asiye na makuu.. Uzalendo my foot my vote...my choice..nobody bznz... Miss u shardcole
Huu ni ushahidi wa wale wazee wa mult id hapa umejisahau ukajiquote kwa id moja murika mwizi.
bwahahahah.. Yeye si amezoea kutulambisha ndimu sasa ngoja tu nimpe asiye na makuu.. Uzalendo my foot my vote...my choice..nobody bznz... Miss u shardcole
Mnamshokea mtu hata hawajui! Wabongo bwana!
Hahahahaaa mkuu hii week ni ya comedians kazini.Nacheka hadi mbavu zinaniuma...
Bibie baada ya kuiona huko instagram akaileta harakaharaka ili tuumbuke kumbe anajitia aibu.
Haya mambo ya MTV yalishapta sijui nani kayaamsha tena
Ewaaaaa, umemaliza yote mumy...
Sijawahi kuona upuuzi kama huu wa kulazimishana kumpigia mtu kura kwa kigezo cha UZALENDO.
Mimi nilishasema sio MTANZANIA, sasa sijui wataniambia nini tena.