Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi KTMA 2015 ishafanyika:what:
Au ndo hii naskia kuna mtu kavunja record ya 20%
Ukiona mpaka mtu anajiquote mwenyewe ujuwe dawa imemuingia kisawasawa.
Diamond ni mwislamu sasa aache uongo na uzushi japo kwa mwezi huu tu wa Ramadan.