Libya
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 1,968
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!
Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.
Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.
Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo
Bdozen