Kanyaga haitafika Mbali

Kanyaga haitafika Mbali

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
 
Namwangalia tu Jirani hapa naye anatumia jf.Ila yy hajui kuwa mie naitumia pia.
 
Kesi umeona umuuzie B12....aya bana!....af btw nyimbo fleva za Nigeria ila haitwi kupiga show Naija....
 
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
Kijana kashabikie lede mziki upo juu ya kiwango chako haiwezekani watu wengi tuupende ww pekee upinge
 
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
Diamond anafanya kile wananchi wanapenda.

wataznania hawapendi content za kuelimisha.

NB:
Ukitaka kupata mashabiki wengi hapa TZ imba nyimbo za kuchamba.
 
Kiukweli tunashindwa kumuelewa huyu kijana na nyimbo zake amekua mtu wa hovyo kutoa nyimbo zisizo na content zenye kuelemisha au kushawishi Jamii kwa namna moja au nyengine in a positive way!

Katika mambo anayofanya au nyimbo anazotoa amefeli kabisa na hawezi kutoa pure bongo fleva.

Nyimbo zake nyingi ni fleva zaki Nigeria.

Ushauri: Anguko lake lipo karibuni namshauri abadilike mapema iwezekanavyo

Bdozen
Utasubiri sana anguko. Jua litakuwakiwa sana ukisubiri anguko la wengine. Vijana wavivu ndio mara nyingi mna wivu usio wa maendeleo. UTATESEKA SANA KUSUBIRI ANGUKO,NA HALITATOKEA
 
Toka isemekane anguko lake liko karibu ni toka 2012 mpaka leo jamaa yupo tu sa sijui neno karibu lina maana ya muda kiasi gani

Back
Top Bottom