BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hhahaah maneno ya mkosaji...Mtoto wa kiume unatokwa na Povu jing mdomon kisa Diamond kuselfika na Kanye West? Amakweli ww ni mcheza pool asubuhi fanya kaz upate pesa uijue hata airport tu
Na uache kumfatilia Diamond Nyumbu ww km dance wa Lupela
wanaume wa dar hao wanaolewa awaoi ahahahaha
Mbio wapi nipo hapa wewe ...am not a coward ...alaaahhahaha mleta uzi mbio hadi AIBU duuh!
Nimerudi kwani mnasemaje ..sasa..mnaotokwa na mapovu ni nyie sio Mimi ...kisa nimekosoa jambo ambalo liko wazi ...eti naomba Nipige picha viatu vyako nyie mnaumwa kweli labda mnaotokwa povu hapa ndo mmezoea kudangnywa aka wa tandale..akapige fiksi huko tandaleTeh teh teh, teh.., mtoa mada sidhani kama atarudi hata kuchungulia humy ndani
Mimi siko dar nko mkoa flan wa wagumu kama vipi njoo wakuoe wewe ...chukua hio!!!!PATO8221st: 15661319 said:Hhahaah maneno ya mkosaji...
Mbio wapi nipo hapa wewe ...am not a coward ...alaaah
Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
Hahaha..mapovu...pole sn mkuu ...i stuand on my grounds na sitabadilika kwa nlichosema unanipiga fiksi mchana kweupe halaf nikae kimya...Dalili mbaya hzi kwa mtoto wa kiume
Kwani vipi mkuu au sababu wamevaa vibaya hao ...hio ni mtindo tu ....mbona huonyesh na label zake nyingine zza nguo na viatu....ila hio nayo ni mada nyingine ya fashion ...my point here is vijana tujifuñze kusema ukweli tuache fiksi...Mkuu are you sure you mean what you wrote?! Ati BEST DESIGNER!.....Bhagheshi! View attachment 332169
Sasa nawewe kwa akili zako haswa timamu kanye west ni mtu wa kuomba eti apige picha viatu vya dai au kupiga naye selfie?usikute hata hiyo selfie diamond kamuomba kweli kanye.namuonea HURUMA sana MWANAMKE utakayemuoa..!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!
namaanisha mtoto wa KIUME hauwezi kuanzisha THREAD kwaajili ya kulidiscuss jambo kama hili...Sasa nawewe kwa akili zako haswa timamu kanye west ni mtu wa kuomba eti apige picha viatu vya dai au kupiga naye selfie?usikute hata hiyo selfie diamond kamuomba kweli kanye.
Rapper na mwimbaji tajiri wa kimarekani.namaanisha mtoto wa KIUME hauwezi kuanzisha THREAD kwaajili ya kulidiscuss jambo kama hili...
anyway tukiachana na huo ustar wa KANYE WEST unaokubabaisha...
naomba nikuulize swali dogo tu,KANYE WEST ni nani..!?
asante...Rapper na mwimbaji tajiri wa kimarekani.
Dah mkuu this is what am talking about watu tushindane kwa hoja sio mipasho...thanks mkuu kwa kumjibu huyo naona hana point ana mipasho..mambo ya kuona na mwanamke aende jukwaa la mapenz .....back to point kweli mkuu hio selfie pengine aliomba kweli lakin umeichek selfie yenyewe ilivo...yan kanye west anaonekana ameweka sura ya mshangao yan like What the f....is this ...hii selfie kama aliilazimisha navoonaSasa nawewe kwa akili zako haswa timamu kanye west ni mtu wa kuomba eti apige picha viatu vya dai au kupiga naye selfie?usikute hata hiyo selfie diamond kamuomba kweli kanye.
Mwimbaji wa kitanzania anayefanya mziki wa majungu badala ya mziki wa kimaendeleo.asante...
kwa kutumia AKILI hiyohiyo uliyojibia SWALI la kwanza naomba unijibu swali hili...
Diamond Platnumz ni nani..!?
sawa...!Mwimbaji wa kitanzania anayefanya mziki wa majungu badala ya mziki wa kimaendeleo.
Kwani vipi mkuu au sababu wamevaa vibaya hao ...hio ni mtindo tu ....mbona huonyesh na label zake nyingine zza nguo na viatu....ila hio nayo ni mada nyingine ya fashion ...my point here is vijana tujifuñze kusema ukweli tuache fiksi...
Hahahaha....dah...okey....KANYE WEST IS THE BEST AND ONE OF THE RICHEST RAPPERS IN THE WORLD...asante...
kwa kutumia AKILI hiyohiyo uliyojibia SWALI la kwanza naomba unijibu swali hili...
Diamond Platnumz ni nani..!?
asante...
kwa kutumia AKILI hiyohiyo uliyojibia SWALI la kwanza naomba unijibu swali hili...
Diamond Platnumz ni nani..!?
Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...DAH eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah HAHA jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe??
DAH jaman wakat mwingine tusidanganyane BUANAAH!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha LOL!!!