BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hhahaah maneno ya mkosaji...Mtoto wa kiume unatokwa na Povu jing mdomon kisa Diamond kuselfika na Kanye West? Amakweli ww ni mcheza pool asubuhi fanya kaz upate pesa uijue hata airport tu
Na uache kumfatilia Diamond Nyumbu ww km dance wa Lupela
wanaume wa dar hao wanaolewa awaoi ahahahaha
Mbio wapi nipo hapa wewe ...am not a coward ...alaaahhahaha mleta uzi mbio hadi AIBU duuh!