...nimekuelewa mkuu,ila hata mama zenu wanachangia sana hayo yaliyokukuta..pole sanaKutokukuzwa siyo tatizo kama hakukuwa na mens rea "nia ovu" nazungumzia kumthsmini mtoto, hapa nazungumzia wazazi wanaowatenga watoto wao na kuamua kutowathamini kwa makusudi. Nyie watoto wa "dady" hamuwezi kujua jinsi wazee wengine wanavyoshusha mioyo. Pilipili usiyoila huwezi jua uchungu wake
Ni kiburi tu cha mafanikio, ila sijaona sababu kubwa ya kumfanya Mondi kumuacha baba yake wa kumzaa akipigika wakati ana uwezo wa kumsaidia. Hata kama alimtelekeza, anapaswa kumsamehe na kurudisha upendo kwa baba yake, isitoshe yule mzee alishakubali makosa yake. Ninachokiona(Huu ni mtazamo wangu) Mondi amepandikizwa chuki kali na mama yake dhidi ya baba yake.Unachoongea hakina ukweli na uhalisia, wewe zaa mtoto umtelekeze au usimhudumie au umtenge au umtupe halafu baada ya kufanikiwa na kuwa mkubwa jitokeze uone kama thamani yako kama mzazi itakuwa palepale. Sikatai kuwa mzazi atabaki kuwa mzazi lakini thamani yake inategemeana na yeye mwenyewe alivyokuthamini mzazi anayemthamini mtoto wake hawezi kuwa sawa thamani yake na mzazi asiyethamini mwanaye.
Tuweni realistic Diamond hajamkataa baba yake ila thamani ya baba yake kwa diamond imeshuka ukilinganisha na mama yake.
Mkuu ninaongea kutokana na experience. Ndiyo maana nimesema ni rahisi kuongea kama hujapitia au unaona kwa mwingine....nimekuelewa mkuu,ila hata mama zenu wanachangia sana hayo yaliyokukuta..pole sana
....nimejaribu kuwa mkweli kuhusu wamama kuchangia vitu kama hivyo ,-sorry kwa waliokwazika na hili
Hahaha siyo chuki na siamini kama diamond ana chuki na baba yake kilichopo ni kwamba hamthamini mzee wake. Kuna tofauti kati ya kumchukia baba yako au wazazi wako na kutowathamini. Na sababu ya kutomthamini sana baba yake ni kwa sababu mzee hakumthamini hiyo imepelekea umuhimu wake kwa mtoto pia kupotea. Ukisema chuki tunakosea hivi wewe katika ukoo wako hakuna ndugu ambao huwathamini? Najua utasema huna uwezo hata matajiri hawathamini ukoo mzima kuna kuwepo na kakikundi ka ndugu kanakofaidi matunda ya bilionea. Na kuthaminiwa kwa kakundi hako kunategemea zaidi walivyomthamini bilionea husika kabla ya kufika hapo ni kama kulipa fadhira hivyo hatuwezi kusema huyu bilionea ana chuki na asiowasaidia.Ni kiburi tu cha mafanikio, ila sijaona sababu kubwa ya kumfanya Mondi kumuacha baba yake wa kumzaa akipigika wakati ana uwezo wa kumsaidia. Hata kama alimtelekeza, anapaswa kumsamehe na kurudisha upendo kwa baba yake, isitoshe yule mzee alishakubali makosa yake. Ninachokiona(Huu ni mtazamo wangu) Mondi amepandikizwa chuki kali na mama yake dhidi ya baba yake.
Haya sawaHahaha siyo chuki na siamini kama diamond ana chuki na baba yake kilichopo ni kwamba hamthamini mzee wake. Kuna tofauti kati ya kumchukia baba yako au wazazi wako na kutowathamini. Na sababu ya kutomthamini sana baba yake ni kwa sababu mzee hakumthamini hiyo imepelekea umuhimu wake kwa mtoto pia kupotea. Ukisema chuki tunakosea hivi wewe katika ukoo wako hakuna ndugu ambao huwathamini? Najua utasema huna uwezo hata matajiri hawathamini ukoo mzima kuna kuwepo na kakikundi ka ndugu kanakofaidi matunda ya bilionea. Na kuthaminiwa kwa kakundi hako kunategemea zaidi walivyomthamini bilionea husika kabla ya kufika hapo ni kama kulipa fadhira hivyo hatuwezi kusema huyu bilionea ana chuki na asiowasaidia.
Hivi ni watoto wangapi wamefanikiwa huku mjini lakini hawawathamini wazazi wao waliowalea kule kijijini wanahangaika? Je tuseme wana chuki? Kutothamini mtu kunatokana na mambo mengi japo mwingine anaweza asiwe na sababu ya msingi ya kutowathamini wazazi wake.
Wema ni akiba
...hivi kwa tabia za yule mama yake Mondi unaweza ishi naye kwa maelewano..?..mama mswahili hasa kiasi ambacho mpaka anakera.Hahaha siyo chuki na siamini kama diamond ana chuki na baba yake kilichopo ni kwamba hamthamini mzee wake. Kuna tofauti kati ya kumchukia baba yako au wazazi wako na kutowathamini. Na sababu ya kutomthamini sana baba yake ni kwa sababu mzee hakumthamini hiyo imepelekea umuhimu wake kwa mtoto pia kupotea. Ukisema chuki tunakosea hivi wewe katika ukoo wako hakuna ndugu ambao huwathamini? Najua utasema huna uwezo hata matajiri hawathamini ukoo mzima kuna kuwepo na kakikundi ka ndugu kanakofaidi matunda ya bilionea. Na kuthaminiwa kwa kakundi hako kunategemea zaidi walivyomthamini bilionea husika kabla ya kufika hapo ni kama kulipa fadhira hivyo hatuwezi kusema huyu bilionea ana chuki na asiowasaidia.
Hivi ni watoto wangapi wamefanikiwa huku mjini lakini hawawathamini wazazi wao waliowalea kule kijijini wanahangaika? Je tuseme wana chuki? Kutothamini mtu kunatokana na mambo mengi japo mwingine anaweza asiwe na sababu ya msingi ya kutowathamini wazazi wake.
Wema ni akiba
Kim kishaongeza wa tatu?!!! Kweli sii wa mchezo mchezo
AminMungu waguse watu wotee wanaoguza wazazi wao...
Gusa wagonjwa wote kadri ya wewe uonavyo inafaa. Amina
Ooh kumbe, teh itakua mwili umeshindwa kuhimili mimba tatu nini surgery zimegomaNdio lakini hakubeba mimba walifanya mambo yao ya kizungu surrogate mother