Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

Ni kweli Toka atoe Yeezy dili na Nike jamaa alitakiwa awe juu wamchelewesha ...na hawezi shuka jamaa ni genius ...ana msemo wake anasema " I am a William Shakespeare in a flesh Walter Disney'
My fav rapper of all time.
Kifuatacho [emoji116]
#Kanye West for President 2024
Screenshot_20200417-191419.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu

Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
Messi analipwa Kwa mpira..
Kanye anafanya biashara ya viatu..
Anauza viatu vyake ghali sana..
Sio mziki uliomlipa
Mziki umempa umaarufu sasa anauza viatu

Dollar milioni 400 alizolipwa Messi ..Kwa mpira
Kanye hawezi pata hata robo Kwa kuimba tu
 
Messi analipwa Kwa mpira..
Kanye anafanya biashara ya viatu..
Anauza viatu vyake ghali sana..
Sio mziki uliomlipa
Mziki umempa umaarufu sasa anauza viatu

Dollar milioni 400 alizolipwa Messi ..Kwa mpira
Kanye hawezi pata hata robo Kwa kuimba tu
Hiyo biashara ya viatu imesababishwa na mziki wake...kwaiyo hapa source bado ni ile ile mziki. Huwezi kuepuka kitaja mafanikio aliyoyapata kwenye viatu kwa kutohusisha mziki wakati mziki ndio uliomfanya afungue hivyo viwanda

Hata messi anaweza ku-invest miradi mingine kupitia mafanikio aliyopata kwenye mziki

Hivyo huwezi kusema messi kapata mafanikio nje ya mziki, wakati mziki ndio uliowezesha mpaka akafanya biashara zingine
 
Na chibu wetu anao kiasi gani? Ni millionea au billione
 
Ni kweli Toka atoe Yeezy dili na Nike jamaa alitakiwa awe juu wamchelewesha ...na hawezi shuka jamaa ni genius ...ana msemo wake anasema " I am a William Shakespeare in a flesh Walter Disney'
My fav rapper of all time.
Kifuatacho [emoji116]
#Kanye West for President 2024View attachment 1430167

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeezy ni deal na Adidas wala sio Nike. Wanaichallenge Air Jordan ya Nike.
 
Swali: kupitia kazi yako uliyoajiliwa umeweza kutengeneza jumla ya kiasi gani cha pesa?

Jibu: nina mashamba 50 ya urithi na vigenge viwili vya kahawa ambayo thamani yake jumla ni milion 16

Swali: hayo mashamba ya urithi yanaingiaje kwenye vitu ulivyonufaika kupitia mshahara wako?

Jibu: lakini ni vyangu navimiliki japokua nimerithishwa
 
50 hana mambo recently kabakia kuwa comedian wa IG kama Idris Sultan tu sina uhakika sana ila nadhani top 4 ina hawa Hov,Diddy,Kanye,Drake plus wazungu kibao waliopata utajiri nyuma ya pazia bila kushka mic mf Lyor Cohen
50 ni kama H baba
 
Back
Top Bottom