Ubishi wa kizamani sana. Muziki na mpira zote ni sanaa tu. Ukiwa na kipaji kunafedha utapata hivyo inakuhitaji akili yako ichangamke ujiongeze ili uwekeze uweze kuwa tajiri hapo baadae ktk maisha yako. Ukitumia fedha vizuri utafanikiwa, ukitumia vibaya utapotea kwenye game. Ukimwangalia mnyama diddy kwenye muziki wake alikua hana album nyingi ila kajiongeza sasahivi tajiri. Ukija Tanzania wakina mr nice walipata helaaa wee, enzi hizo viwanja kinyerezi laki 3 lakini waliendekeza starehe. Flamini kacheza arsenal pesa alipata ya kawaida kuliko hata wakina dinho ila amewekeza eneo potential hadi netwealth inafika 14 bn usd na hapo ujue sio kiwanda cha juice hicho. Muhimu tupambane jamani familia zetu ziishi maisha mazuri.