herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
50cent alishuka kidogo miaka ya katikati hapoKwa investment na mali zote kwa pamoja iwe kwa usanii au ujasiria mali Kanye west na 50 cent nani ana mkwanja zaidi?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Alinunua jumba la mike tyson kwa dola milioni 3.7 ila akaja kuiuza kwa dola milioni 2.5 hivi sababu nyumba ilikuwa gharama kuimaintain na expenses zake...... Akaona isiwe shida akaiuza....Fifty hakuna kitu was broke now ameanza kurudi baada ya kugain entrepreneur mindset
Ni 1.9 bilioni......Mmmm kwa sasa MO si ana $ 1.6 b huku kanye ana $ 1.3 b
Ni 1.9 bilioni dollarsAcha kupotosha watu, Mo ana $1.6B, huyo Kanye ana $1.3B
Apa ndo naelewa kwanini Macelebrity wengi hawataki kuoa.Aisee...imekua kama chukua chako mapema[emoji848]View attachment 1436013
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sijui ndio sababu inafanya sijafikia level ya kuitwa Tajiri ila nasema ningekuwa na hela hivi aiseee ningetomba mademu wazuri aiseee..... Yaani ningekuwa natomba aisee acha tu wacha nisipate tu hizi helaKumbe huyu dogo in sheikh?View attachment 1430169View attachment 1430170
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wewe sini mdada? ID hizi aiseeAisee sijui ndio sababu inafanya sijafikia level ya kuitwa Tajiri ila nasema ningekuwa na hela hivi aiseee ningetomba mademu wazuri aiseee..... Yaani ningekuwa natomba aisee acha tu wacha nisipate tu hizi hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kusahihisha ila niliangalia FORBES hadi kufikia 2019 alikuwa na $1.6B
Naamini wengi hawaelewi kuwa huyo dogo ni mtoto wa Mwanamfalme Jefri Bolkia wa Brunei, hivyo source ya utajiri wake sio mpira bali ni wa kurithi. Na ndio maana hata Queen Elizabeth hawekwi kwenye richest list.Huyo faiq unaelewa source ya huo utajiri?
Halafu huyo dogo hata salary anayolipwa kwa week sidhani kama anamzidi samatta.
Watu wengi walijua hivyo hawakujua kua huo utajiri ni wakurithi. Huyo dogo anapokea salary ya dola 1000 kwa wiki yani kazidiwa hadi na samattaNaamini wengi hawaelewi kuwa huyo dogo ni mtoto wa Mwanamfalme Jefri Bolkia wa Brunei, hivyo source ya utajiri wake sio mpira bali ni wa kurithi. Na ndio maana hata Queen Elizabeth hawekwi kwenye richest list.
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
Aisee sijui ndio sababu inafanya sijafikia level ya kuitwa Tajiri ila nasema ningekuwa na hela hivi aiseee ningetomba mademu wazuri aiseee..... Yaani ningekuwa natomba aisee acha tu wacha nisipate tu hizi hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaangalia uwingi wa hela sio kazi!Messi analipwa Kwa mpira..
Kanye anafanya biashara ya viatu..
Anauza viatu vyake ghali sana..
Sio mziki uliomlipa
Mziki umempa umaarufu sasa anauza viatu
Dollar milioni 400 alizolipwa Messi ..Kwa mpira
Kanye hawezi pata hata robo Kwa kuimba tu
Matunzo ya ile nyumba kwa mwezi ni mil 100 za kitanzania........Alinunua jumba la mike tyson kwa dola milioni 3.7 ila akaja kuiuza kwa dola milioni 2.5 hivi sababu nyumba ilikuwa gharama kuimaintain na expenses zake...... Akaona isiwe shida akaiuza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kacheki madesa freshi messi snaongoza kwa mshahara wa kwa week Ila sio anaengoza kwa utajiri atakuwa ni wapili ama wa tatu nafikiriMessi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu
Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
Sasa bila kuangalia kazi hela zingetoka wapi mbinguni?Hapa tunaangalia uwingi wa hela sio kazi!