Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

kuvaa unafikiria wewe,mke wa Obama alivyokuja si jliona usimple wake ndugu
Kuna kitu watz tuna ulimbukeni pindi tukishika pesa na.kusakau mazingira ambayo ukisafir unaenda kutana nayo... sisi tukienda ulaya tutajilipua kwanzia chini hadi.juu. ni hatar kila.kitu kipyaaaa.. nenda pale airport utaona mengi na kwa wenzetu wakija pale airport wako simple tu hawana papara ya kujionyesha wana helaa.. . Jamna hao hela wanayo hizo nguo walizovaa unawexa lishwa mwezi mzima au miezi kadhaaa bila kuisha iwapo zikiuzwa.. msichukulie poa hizo swaga..hakuna ambacho atashindwa vaa au hajawahi vaa ndo maana anapangilia kawaida kabisa.. hivi mnafikiri akienfa bara la ulaya au penye watu matajiri atavaa hivyoo kavaa hivyo kuja africa anajua africa ni nchi ya kimasikin sana so anaenda na wakat na watu wa bara aendalo..😁😁😁
 
Ww unahic hizo nguo za kimaskini sio? Kaa hivyo hivyo .
 
Kanye nadhani ana trace origin yake Isangati Mbeya !!!! Congrats on yr sexy wife bro.... Kim is so yummy. She fills my belly with butterflies whenever I c her photo.
 
Billgate alikuja bongo kachomekea tu na surual kadeti simpo tu...na akala wali kweny sahan ya plastiki....thats boss' s life...kwan mavazi ya kitajiri ndo yakoje
 
Hata akikatisha manzese hakuna atakayemjua,maskini ndo huwa tunacomplicate maisha mara macheni,mapete.....hapo designer wake ndo kampendezesha ivyo
 
Ila usijidanganye,wenzetu huko majuu wana nguo zao flani hivi unaweza kuona kama zimechoka ila ulizia bei ndio utajua thamani halisi..
 
anavaa kimasikini ila ukimuhitaji kwenye show booking yake ni kuanzia dolloa laki saba (700,000usd) kwenda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…