The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
FANYENI KAZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye pesa ya ukweli hawana mbwembweangalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Jamaa kama msukuma vile [emoji3][emoji3][emoji3]angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
Wewe ndie masikini, bora ingekua wa mali.. Wewe ni wa ki mawazo Pengine akili..angalia superstar wa dunia anavaa buti ngumu kama hyo nguo bila shaka ni mtumba sijui tumfananishe na star gani hapa bongo
Nash mc? no Nikki mbishi no
ila jamaa kawa kauzu hatariView attachment 899128
wee mbona umekazana ni kichaa?? Unajua kama na ww una kichaa ambacho huwezi jua kama kinaweza kulipuka any time??
Kuna kitu watz tuna ulimbukeni pindi tukishika pesa na.kusakau mazingira ambayo ukisafir unaenda kutana nayo... sisi tukienda ulaya tutajilipua kwanzia chini hadi.juu. ni hatar kila.kitu kipyaaaa.. nenda pale airport utaona mengi na kwa wenzetu wakija pale airport wako simple tu hawana papara ya kujionyesha wana helaa.. . Jamna hao hela wanayo hizo nguo walizovaa unawexa lishwa mwezi mzima au miezi kadhaaa bila kuisha iwapo zikiuzwa.. msichukulie poa hizo swaga..hakuna ambacho atashindwa vaa au hajawahi vaa ndo maana anapangilia kawaida kabisa.. hivi mnafikiri akienfa bara la ulaya au penye watu matajiri atavaa hivyoo kavaa hivyo kuja africa anajua africa ni nchi ya kimasikin sana so anaenda na wakat na watu wa bara aendalo..😁😁😁kuvaa unafikiria wewe,mke wa Obama alivyokuja si jliona usimple wake ndugu
Ww unahic hizo nguo za kimaskini sio? Kaa hivyo hivyo .Kuna kitu watz tuna ulimbukeni pindi tukishika pesa na.kusakau mazingira ambayo ukisafir unaenda kutana nayo... sisi tukienda ulaya tutajilipua kwanzia chini hadi.juu. ni hatar kila.kitu kipyaaaa.. nenda pale airport utaona mengi na kwa wenzetu wakija pale airport wako simple tu hawana papara ya kujionyesha wana helaa.. . Jamna hao hela wanayo hizo nguo walizovaa unawexa lishwa mwezi mzima au miezi kadhaaa bila kuisha iwapo zikiuzwa.. msichukulie poa hizo swaga..hakuna ambacho atashindwa vaa au hajawahi vaa ndo maana anapangilia kawaida kabisa.. hivi mnafikiri akienfa bara la ulaya au penye watu matajiri atavaa hivyoo kavaa hivyo kuja africa anajua africa ni nchi ya kimasikin sana so anaenda na wakat na watu wa bara aendalo..[emoji16][emoji16][emoji16]
aaaahWewe ndie masikini, bora ingekua wa mali.. Wewe ni wa ki mawazo Pengine akili..
jamaa ngoshaJamaa kama msukuma vile [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]jamaa ngosha
The goal is to be rich, not to look rich.
"The goal is to be rich not to look rich"
A point ia to be rich and not look rich
Kwahiyo kama wanaume wa Dar tukusaidie nini?Wanaume wa Dar.
Mnaigana tu misemo kama mipasho
2 + 2 = 4Wanaume wa Dar.
Mnaigana tu misemo kama mipasho