Kanye west na mke wake

Kuna kitu kinaniambia kuwa ipo siku hizi picha zitatumika dhidi ya Kanye West maana hakuna mtu kichwa kizito kama kanye, washamblock sehemu nyingi ila anapita, hizi sexual things ndio huwa zinawakamata sana black billionaires na ninahisi ndipo atakamatiwa hapo
 
Hilo ni jambo la mda tu mkuu. Anyways bwana "Ye" hayupo kwenye ile listi ya mabilionea weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…