Kanye west na mke wake

Hata huyo mkewe atakuja sema alikuwa ana fosiwa kutembea uchi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Acha mbwembwe, wapi huko mlipokuwa mnamsimanga Kanye? Wewe na nani mlikuwa mnamsimanga? ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ
DOGO relax, this is just a funny post, donโ€™t take it too seriously

Samahani kama nimekukwaza ๐Ÿ™
 
Hata huyo mkewe atakuja sema alikuwa ana fosiwa kutembea uchi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hiyo ipo na wanavyofanya hizo parade mtaani huku wazazi wa binti hawafurahi. Siku akitoka mbele na kulipua vitu, Kanye atapata wakati mgumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ